Pussy Riot Protest

naked? afrodenzi imagination....nimetabasamuje hahaha

ahhhhh well ni kweli lakini si umemuona hapo juu uchi na gitaa yake
na anawatetea... dahhhhh sijui alikuwa anawaza nini tu .... sukari juu ya asali mmmhh
mi bora nijitoe humu ndani kwa muda maana akili yangu ina peperuka kwingine baaadaye...
 
kuna kitu unakimiss sana.
 
Well talk trash abt Vladmir nd his MP's the inevitable was bound 2 happen
 
Putin na Pussy wapi na wapi? Muulizeni saint Ivungi ubabe wa Warusi.

Jamaa anapenda sana Ubabe na kutumia Mdomo kidogo na kwa nadra sana.

Free Pussy.....
 
Last edited by a moderator:
Putin na Pussy wapi na wapi? Muulizeni saint Ivungi ubabe wa Warusi.

Jamaa anapenda sana Ubabe na kutumia Mdomo kidogo na kwa nadra sana.

Free Pussy.....

Mimi nilikuwa nawaambia hapa kuwa wale mademu walikosea sana kuingilia siasa Gaijin anasema nawatetea
 
Last edited by a moderator:
Mimi sijaelewa hapa...wanafanya riot ili wapate "pussy" ya/wa bure au wanataka "pussy" iachiwe/aachiwe huru? Mwe...kidhungu kinanitesa!
 
Pussy Riot, what a fancy name.
Give the young wits a break.
Oh! Those Russians.
 
Bandugu hii bendi ingeitwaje kwa Kiswahili? Ningefurahi Kama wangekuja bongo kupiga shoo katika fiesta heheheheheheheee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…