Puppies to let | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Puppies to let

Discussion in 'Matangazo madogo' started by bwegebwege, May 10, 2011.

 1. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wana JF

  Nina Puppies, GERMAN SHEPHERD wanauzwa kwa bei nafuu. Kwa sasa wamebaki wachache, kwa anayehitaji tafadhali nitafute kwa namba hizi:-
  +255 755 338 994
  +255 715 329 994

  Uliza Mnyalu, utaelekezwa mahali pa kuwaona

  Breed: Puppies wawili (2) tu waliosalia ni PURE GERMAN SHEPHERDS (Kwa maana ya wazai wote ni pure GS), wengine ni GSD lakini si pure breed (Baba pure GSD mama combination of Pure GSD na 2nd Generation GSP)

  Pure GS Puppies wana wiki 14, wale ambao ni half cast wana wiki 6 tu

  See attached photos...

  Kila la kheri
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Mkuu hao puppies to let... or for sale?
   
 3. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Haya! Wenye mabinti changamkieni deal!
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Mkuu ungemwacha tu! Lugha za watu hizi
   
 5. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  To let is a VERB TRANSITIVE, meaning "To permit" or "to allow" by neglecting to restrain or prevent (Unaweza ku-let kitu "free" au "with certain conditions"! In this case we have decided to "let out the puppies" after any interested party paying cash....

  But if you want I will say WATOTO WA MBWA WANAUZWA!!
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  May 10, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Hapo nilipokoza ungemalizia hivi "let out the puppies Permanently"

  Mkuu nimeipenda hii... WATOTO WA MBWA WANAUZWA, si unaona inavyo pendeza bana.

  Kwa kweli hiyo spicies ni nzuri na nimeipenda kwa kweli, ila uku nilipo mbwa ni pet tu, na ukiwa nao kuna mambo kibao ya kuyafuata, kuna leseni unalipia kwa mwaka, umwandikishe lasmi kwa social warefare as a part of family... hapelekwe school, chakula maalum toka supermarket... umnunulie toys za kuchezea yaani matunzo kama mtoto wa binadam vile...!

  Ila nyumbani Afrika ... aaaah chakula unaoda tu mabaki ya kwenye mahotel na mifupa buchani, chakula unamchanganyia na pili pili eti hawe mkali... ah ah ah ah, Baaaaasi hakuna longo longo za kumwandikisha skuli wala kwa bwana daktari.
   
Loading...