Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

Huduma zinaendelea akiwa na shida anakuomba
Yalinishinda meku. Nilimpenda sana ila hapo kwenye kuhudumia bila kuhudumiwa nilishindwa.

Mwanamke anayekupenda atakuletea uipige tani yako, au atatafta ukaribu sana na wewe. Nikishaona ratiba either hanifeel au hajaelewa show, so sina la ziada mheshimiwa mtazamaji. Mwisho wa kipindi.
 
We unaijua nyeto wewe...

Bro hujaacha,umepumzika tu,ile huwa haiachwi...yaan its"blood in blood out" kinda like.
 
Kuna kasumba kuwa chaputa hawawezi kuzalisha kutoka na tatizo kama langu. Sio kweli, yaani uume ukisimama na Mbegu zikafika basi mimba hutokea.
Mie nina watoto wawili na nataraji mwingine wa 3 soon.
Una uhakika ni watoto wako??
 
Saivi nimenkunjia sitaki macheko nayeye,afu anajiulizisha mbona nimebadilika
namimi nimejib niko poa tu labda mtazamo wake
 
Atakuwa anatangaza biashara ya nguvu za kiume
 
Atakuwa anatangaza biashara ya nguvu za kiume
Madhara ni saikolojia yako tu ata ka hupigi nyetu unaweza ukapiga goli moja chali
 
Madhara ni saikolojia yako tu ata ka hupigi nyetu unaweza ukapiga goli moja chali

Ila hapa mkuu nimekuelewa vizuri,

Mimi nakuwaga mwoga kwa mwanamke ambae ni mara ya kwanza kumla na wala sijawahi mzoea kabisa, hapa nakuwaga mwoga kiasi kwamba mashine inaweza kusimama tukiwa tu tunapiga stori ila akinivulia tu chupi niingize inalala kabla sijaingiza ***** πŸ€”πŸ€”πŸ€” na huwa inanikera sana hiyo situation alafu akiondoka tu eti inasimama tena, ila nimegunduaga tatizo ni uwoga kwa mwanamke ambae sijamzoea peke ake lakini nikimshamzoea tu basi mechi inaenda poa.

Na pia mwanamke mwenye aibu mm huwa na perform mechi poa sana ila nikikutana na mwanamke mwenye confidence ambae ana mikwara mingi mfano anaanza kukwambia unaweza ww nikikupa ? tiari hapo tukienda kitandani lazima ni fail game nashine inaweza isisimame kabisa .

Kwa hiyo saikolojia inatufanya tujihisi hatuna nguvu za kiume ila kumbe tunazo
 
Kabisa kama vile mechi ya jana ya simba na platnum wachezaj walivurugwa kidogo tu na refa wakafanya utopolo mechi mzima, ivo mdo saikolojia inavochezewa ukishajijengeea kwamba ww uwez na akili inakwambia kwel apo uwez
 
😁😁😁 Kweli aisee...sex inahitaji utulivu wa kiakili pia
 
Aiseee, umenizidi miaka 2 tuu kwenye chama!!

Kuna kipindi nilitaka kuacha, eeeh bhana sikukata hata wiki nikajirudisha kundini mwenyewe!!!

😁😁😁 Kuacha hii kitu inahitajika uamue kabisa kutoka moyoni na pia upate mpenzi wa kudumu ambae utakuwa nae karibu au uoe kabisa kuepusha zinaa
 
Kuacha nyeto ni kipengele sema isiwe too much

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Eti ni kipengele, ila mkuu unataka kunambia kuna wanandoa waliooa na bado wanapiga punyeto ? Maana mimi naamini nikishaoa nitakiaga chama rasmi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Eti ni kipengele, ila mkuu unataka kunambia kuna wanandoa waliooa na bado wanapiga punyeto ? Maana mimi naamini nikishaoa nitakiaga chama rasmi
Ukioa utaacha kutokana na majukumu ata ukiwa na majukumu mengi rate yako ya upigaj nyeto ni ndogo
 
Sema usioe ili uach nyeto oa kwa sababu unataka kuoa maana unaeza kuoa na ukapiga
 
Ukioa utaacha kutokana na majukumu ata ukiwa na majukumu mengi rate yako ya upigaj nyeto ni ndogo

Ni kweli hata mimi nimeligunduaga hilo ukiwa umeji keep bize sana, basi upigaji wako utakuwa wa kuotea sana na pia ukiwa unapiga mazoezi sana ama kufanya kazi ngumu sana zinazochosha mwili basi upigaji wako pia utakuwa una nafuu sana
 
Kabisa

Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…