Punyeto ni ushetani

Hapo ni mentality yako tu! Kwanza tatizo linaanza pale unapoichukulia nyeto kwamba ni dhambi. Nyeto ni njia ya kukabiliana na mihemko ya mwili kwa wale walio singo. Sasa wewe unaichukulia kama dhambi hapo ndiyo tatizo linapoanzia.

Kwahiyo ukimuangalia mtu anapokula kiepe ukatamani, hapo ni pepo gani litakuwa limekuongia?😂

Kutamani kitu kizuri baada ya kukiona sio suala la pepo au shetani fulani kukuingia, hilo ni suala la asili kabisa la kimaumbile.

Ko Lucifer alipokuwa mbinguni akatamani kuabudiwa kama MUNGU ni shetani gani alikuwa amemuingia?😅😅

Kutaka kuacha nyeto wakati uko singo ni sawa na kuingia kwenye vita ambavyo hutavishinda, utakaa kwa mie,i kadhaa tu baadaye utarudi mzigoni tena kwa mar nyingine! 🤣🤣🤣

Halafu mbona umeangalia upande wa hasara za nyeto tu? Faida zake katika jamii mbona hujaziangalia? Mbali na kwamba nyeto ina madhara lakini faida zake ni nyingi zaidi ukitaka nikutajie utaniambia.
 
Faida moja kubwa ya nyeto ni kuondoa stress, ila kwa ambao wamekuwa addicted na punyeto sidhani kama wanaweza kuona hii faida.
 
hii ASMODEUS nilifikiri ni jina la timu ya mpira
 
100% nakubaliana na wewe Chifu.

Nilikuwa mtumwa sana wa punyeto hata mara 6 nilikuwa napiga tena kila siku kwa zaidi ya miaka 8.

Nilipoamua kuachana na mitandao kabisa ya simu kama Instagram, Facebook, Pornographies, Badoo, Twitter, Tango na makundi ya WhatsApp ya kijinga nilikuwa nakaa hata miezi mitatu ila nikikumbuka tu namna ya utamu wa punyeto lazima nitapiga na kurudia ujinga ule ule wa awali.

Nilifunga kwa maombi ya siku 7 mfululizo ndipo nikaona uwezo wa Mungu, nina miaka 10 yote sasa sijapiga punyeto na wala sijawahi kuifikiria kamwe.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sehemu. Ipo, tena MUNGU alimuua huyo jamaa but nimeisahau
MWANZO 38:9.

Onan aliduu na Mjane ambaye alikuwa ni Shemeji yake ikiwa alipaswa kujamiiana naye ili aweze kumpiga mimba apate Mtoto maana Mumewe alifariki bila ya kuzaa naye.

Jamaa akafanya vizuri ila alipokuwa akielekea kupizi akachomoa mashine na kumwaga nnje ya uke wa Shemeji yake sababu alijua uzao hautakuwa wake.

Kilichofuata..........




Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ulimwona wapi huyo shetani anapiga nyeto?

Je, Uraibu ndio kigezo chako Cha kumleta shetani hapa?

Kuna uraibu wa kunywa chai
Kuna uraibu wa kunywa kahawa
Kuna uraibu wa kusikiliza muziki
Kuna uraibu wa kula pilipili kwenye chakula
Kuna uraibu wa kula chipsi
Kuna uraibu wa kufanya sex
Kuna uraibu wa kunywa soda
Kuna uraibu wa kunywa energy drinks

Uraibu ni issue ya mwili tu, physiological and psychological issues of the body

Tuache huu ujinga wa kuongopeana kuhusu shetani!

Mtoa mada wewe ulipata ugumu kuacha punyeto Ila wapo wenzako wameacha kirahisi tu

Ukumbuke punyeto inawafurahisha wanaume, Ila wapo wanaume wanachukizwa na hicho kitendo

Wavulana wakibalehe wanafundishana punyeto!
Wakishaanza kupiga punyeto, baadhi yao wanaachana nayo baada ya Muda na wengine wanadumu nayo!
Hapo kwa ujinga wako utasema wanaoendelea wameshikwa na shetani na walioacha wamesamehewa na shetani

Issue Ni psychology na physiology ya mwili wa mtu imekuwa compatible na punyeto kwa kiwango gani!

Imani za kuhusu shetani mufundishane kanisani mulikojivika macho ya Rohoni!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimeishinda nyeto ila kwenye hili nahitaji msaada kwa kweli…
hapo ni pagumu sana aisee na ni mchakato siyo jambo la mara moja, kama ulivyojenga mazoea ya kuangalia misambwanda mara kwa mara jitahidi kuanza kuipotezea mdogomdogo, and surely inawezekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…