punyeto ni kitu kibaya sana japo wengi wamepitia ila madhara yake ni makubwa na huchukua muda sana kumalizika mfano kuwahi kumaliza, kushindwa kurudia, kukosa hisia na mtu unae kitandani, au kuvuta sana hisia ndio uweze kusimamisha, kukosa nguvu, na wakati mwengine unaweka mpaka unachoka ila hufiki mwisho. sishauri mtu yoyote apige nyeto
ikiwa unataka kuacha ni lazima uamue kwa moyo mmoja. nachoshukuru mimi niliiacha pale wengi ambapo wameanzia na ndio maana sijakaa kurudia tena, napo ni boarding school.
aim for the stars