Punyeto inafariji mno¡¡¡

Punyeto inafariji mno¡¡¡

Nipe hizo hatar
1:mfumo wa fahamu..mfano kuwa msahalifu wa mambo. 2: kutojiamini...mfano, demu uanamuona kama takataka na unashindwa kumtongoza. 3: kudhoofisha mwili. Ukiwa mpiga punyeto mbobevu huweza nenepa halafu ngozi yako inakuwa haina nuru. 4: kisirani na wasiwasi. Punyeto inakufanya uwe na kisirani na wasiwasi...unakuwa hujiamini na mbishi na mwenye hasira za karibu. 5: Bahati....punyeto inapunguza bahati yako mimi kipindi napiga punyeto madili mengi nilikuwa nayakosa. 6: kupungua kwa nguvu: ukiwa mpiga punyeto mwili unakosa balance hasa sehemu za joint za miguu kuna muda unajisikia miguu haina nguvu. Kwa wale wacheza ngumi inawaathiri na kazi ngumu. 7: Nguvu za kiume: kuna muda zinapungua kuna muda zinaongezeka ila haziishi kabisa kutokana na kulegea kwa mishipa ya uume. N.k Punyeto Haifai kwa ujumla.
 
Zote hizo Cjawah kukutana nazo
 
Hua unajiskiaje ukiwa mbele ya wanaume ambao haja zao wanakizi kwa wenza wao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom