Punguza usumbufu

che wa Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
277
Reaction score
71
wadau let share haka kakitu kadogo. Convert Web Page to PDF - #1 Web to PDF Converter hii itakusaidia kusave page yote ya web kwenda kwenye pdf format, ni njia nzuri sana wakati mwingine wadau tunasave some webpage kwa njia ya kawaida kutokana na net zetu kuwa magumashi, huwa mara nyingi haijisave yote na kujikuta unapoteza some information. Unachotakiwa kufanya ni kuopen hyo web and unacopy link ya page unayotaka kusave na kisha upload, after hapo itakupeleka kwenda kudownload pdf file.

Free online OCR hii wadau ina convert text zilizopo kwenye scanned file kwenda kwenye normal text, au text zilizo kwenye mfumo wa picture kwenda kwenye maandishi ya kawaida. Hii inasaidia sana kuondoa usumbufu wa kutype vitu mara mbili mbili haswa vilivyopo kwenye maybe kitabu. Just scan and then fungua hii page then upload hyo picha and convert, utafanya marekebisho madofo sanaaaa. Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…