Punguza/ondoa gharama ya luku ya umeme

SNL SOLAR LTD

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
205
26
SNL SOLAR LTD inakupa nafuu ya kupunguza Bill ya Umeme kwa kutumia Mifumo Yetu ya Umeme wa Jua.
Hakuna malipo yoyote baada ya Kufungiwa Solar.

Huduma zetu Ni Bora na tunakupatia Warranty ya kutosha.

Pia tunafunga Backup za Umeme kwa Gharama nafuu zaidi.

Tupo Sinza kwa Remy
Mawasiliano: 0714373488/0762246488/0784232526
1493095639318.jpg
 
Samahani kwa kuingilia Post yako ila Back up ya solar ndio nini?Gharama yake ya kufunga ambayo ni nafuu inakuaje?

Mna taa za solar ambazo ni auto means jua likiwepo inachaji na jua lisipokuwapo inawaka??If mnayo then bei zake zikoje?Betri zake zinadumu kwa muda gani hizi taa au ndio kubadilisha kila baada ya mwaka?
 
Back
Top Bottom