AskariKanzu
Member
- Jul 25, 2025
- 38
- 146
Ongea kidogoUnaweza kuwa maarufu au mashuhuri katika mahali pa kazi. Lakini amini siku ukiachishwa kazi leo, hakuna mtu atakae wasiliana na wewe baada ya wiki kupita.
-Punguza umbea kazini
-Hacha majisifu na majivuni
-Hacha mahusiano ya mapenzi kazini
-Mambo ya kifamilia husilete kazini
-Fanya kazi yako
-Pokea mshahara wako
Cc mastering manhood
💯Ongezea
- Usipende wakaribisha wafanyakazi wenzio geto/home kwakoo
Hacha😅Umefeli kwa matumizi ya 𝐇𝐚 na 𝗮 kanusha neno
"Anasuka"
Ni muhimu sanaOngezea
- Usipende wakaribisha wafanyakazi wenzio geto/home kwakoo
Hacha majivuni bro 😅Hivi mtu akiandika
Hacha
Husilete
Kitaalamu ni nini?