Punguza marafiki wasio na manufaa

Mama yako ni malaya?
Mambo mama Sabrina?

Naomba nikuulize kitu kuhusiana na hii comment yako.

Eti ni kwanini wanawake mara nyingi huwa mtu akiwaudhi unapenda kumtukania mama yake?

Kwanini usingemtukana yeye? Au hata kaka yake! Kwanini lazima mama yake ndio aoge tusi?

Kwani eti ukimtukana yeye ndio hautamuuza kihisia!?

NB: Sina uhusiano wowote na huyo uliyemtukana na wala simtetei kwa vyovyote, ila tu nataka kujua kwa maana hii tabia nimeiona sana.
 
Hata sijui kwa kweli
 
Wengi ni " masingo Maza"
 
Exactly[emoji106]
 
Ni kweli kabisa .... Ila kwa tabia zetu za kiafrika utatengwa haraka sana
 
Sipati picha wakati hujastaharabika[emoji3] [emoji3].

Anyway nasubiri siku yangu na mimi labda wataniogopa kama wewe
Hapana wameona mchokozi nani,,ye ndio kanianza mi nikamaliza,
Kua mvulivu usitukane hutapata ban
 
Punguza marafiki wanao shabikia ccm,punguza
Futa delete kabisaaaaaaaaaaa!! Tena hata kama rafiki yako ana rafiki/marafiki wenye vinasaba vya uccm Futa kabisa! Futa wote! Mimi nimeweza na ninaishi kwa amani sasa!
 
Sio kuwapunguza, kuwapunguza maana yake nini? Unakaa nao mbali wote...!!! Wote kabisa, ukibakiza hata mmoja tu, anaweza akaku-derail completely!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…