Punda akisha kufa,huo mzigo utafikaje?Si wanasemaga Punda afe mzigo ufike?
Sisi na wanyama wengine hatuna tofautiKiumbe katili kuliko wote ni sisi binadamu
Wala punda Singida wao wanasemaje?
Hakika,yaan kabisaSisi na wanyama wengine hatuna tofauti