Punda (donkeys) 10 Wanahitajika kwa Ajilim ya Pilot Study Itakayofanyika Rwanda!

utumbomkavu

Member
Jul 2, 2012
7
0
Wadau Naomba Msaada Wenu kwa Hili: Required,
10 donkeys (castrated male or female) of 3-4 years old. Must be healthy & standard type of donkeys.

Documents like certificate of origin (donkeys are from Tanzania) and veterinary certificate must be provided

Thank you,

Regards.

Kwa yeyote mwenye ujuzi wa hawa wanyama, pia uuzwaji wake, naomba tuwasiliane tafadhali.

Pia naomba nipate kujuzwa jinsi gani hawa wanyama wanaweza kusafirishwa mpaka Rwanda (Vibali, gharama na mazingira ya kuwasafirisha n.k)

Akhsante!
 
tuwasiliane punda moja sh.400,000/=maelewano yapo,kusafirisha utatumia fuso,mtaelewana na mwenye gari.ni PM niko kanda kazkn
 
Ezekiel Maige atakuwa anajua zaidi mtafute umuuliza, ameweza kusafirisha Twiga hao punda hatoshindwa
 
Fika mahali panaitwa Maji Ya Chai kijiji cha kitefu, wilaya Arumeru Mashariki utawapayta wenye afya na nguvu.
Kuhusu Vets pia ni tahisi kupatikana.
 
nipo hapa nafanana na binadamu lol siwezi kwenda kwani :nerd:
 
Niko kahama Ni-PM nikutafutie hapa usafiri utapatana na mwenye Gari.
 
Nitashukuru ikiwa hivyo! Naomba tuwasiliane kupitia email hii: fungameza80@gmail.com kwa mawasiliano na maelezo zaidi.

Regards.
 
Ningependa kuwajibu kwa ku-PM ila sijafikia vigezo vya kufanya hivyo, since ni mgeni kwa jina hili, na ili uweze ku-PM unahitaji uwe umeshatuma angalau five posts! So tuvumiliane na pia tunaweza kuwasiliana kwa simu au email ili niweze kufanikisha hili kwa haraka.

email yng: fungameza80@gmail.com

Akhsante!
 
tuwasiliane punda moja sh.400,000/=maelewano yapo,kusafirisha utatumia fuso,mtaelewana na mwenye gari.ni PM niko kanda kazkn

Hiyo bei kaka inabidi tuongee, tunaweza kua na maelewano ya muda mrefu kama offer itakua nzuri. Niandikie kwa email yangu kwa maelezo na maelewano zaidi!

Regards.
 
Back
Top Bottom