McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
sasa huyo ni bimkubwa au mdogo, manake siku ile ya muungano uhuru alitinga na wote wawili na waliingia kwa zamu....sasa anaingia bimkubwa...sasa anafuatia bimdogo...naona wote walikaba penati kwamba na mimi lazima nijulikane na nitokelezee uhuru kwenye sherehe. mashangingi ya wake wawili, wastage of resources kwa mitara hii.

mnatuongezea garama sasa, hapo kuna shangili la mdingi, shangingi la bimkubwa na bodigadi wake, shangingi la bimdogo na bodigadi wake na marupurupu hivyohivyo....garama sana kuhudumia kwa kodi zetu.Ni heri kubwa hiyo kuliko kuwa na mke mmoja na mahawara kibao nje. Ni Uzinzi na uasherati na kinyume na dini zote duniani.