Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 15,126
- 35,515
Wakuu,
Jirani zetu Kenya wamepoteza daktari wa kwanza aliefariki kwa ugonjwa wa Covid 19
Dr.Doreen Adisa Lugaliki alikuwa akihudumu katika hospitali ya Nairobi South kama daktari wa Magonjwa ya wanawake kabla ya kukumbwa na mauti Siku ya ijumaa tarehe 10/07/2020.
Mungu ampe pumziko la amani.