Pumzika kwa amani mdogo wangu

Chibudee

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
1,775
Reaction score
2,408
Miongoni mwa wanafunzi Walio tangulia mbele zahaki Ni my Young Sister Sabrinah
Daaah allah akujalie uwe miongoni mwa watakao iyona pepo inshaallah

Pole dhazati na kwa wanafunzi wenzio walio tutoka na Walimu wao

Daaah 6/5/2017 sitahi sahau hii siku


Kifo Kifo Kifo Nisikufuru Mdogo wangu ulikuwa Nandoto zakuja kuwa Raisi Zime zima ghafla

Eemungu fariji moyo wangu moyo wangu daaah[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Pole sana ndugu
 
Chibudee umeniliza Leo!
 
Pole sana, Mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu

May those young souls rest in eternal peace!
 
Pole sana mkuu, apumzike kwa amani Mdogo wetu
 
Chibude, pole sana Mola akujalie amani yake! RIP Sabrinah!
 
Daah! Acha Mungu aitwe Mungu daima, Mungu ni Mwema kila wakati na kila wakati Mungu ni mwema.... Lakini sisi kama wanadamu hatuna budi kulia na kuhuzunika pale mpendwa wetu anapotutoka....
Pole sana Mkuu.
 
Pole sana mkuu... Sote tupo njia 1 ivo ametutangulia tu, RIP...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…