Mhere Mwita
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 235
- 1,275
Duh CCM bhana, Ina wenyewe, ukijipendekeza ndio wanakula kichwa hivyo
Mange Kimange ndio nani.Hii post yako imepata kibali cha msemaji mkuu wa chama -Mange Kimange?
Umeitoa post yako KIUSHABIKI zaidi ... na ingeleta maana endapo huyo unaemwambia KATELEKEZWA angekuwa HAI akiusoma uzi wako ..... afu umeharibu zaidi ulipoingizia habari za MASHA
-------------------------------------------------------------------------
Pumzika kwa Amani Kaimu Katibu Msaidizi wa UVCCM Wilaya ya kibaha Mjini Ndugu Albert Ngwada ukweli nimaskitiko makubwa kweli kwa ndugu zako kwani ulikuwa ni tegemeo kwao.
Mimi nilipopata Ajali Chadema kilijali sana walinihudumia kila kitu mpaka nikaona aibu nikaona nitangaze kuuza kiwanja changu ili nipate matibabu kwani kimeokoa maisha yangu kwa hiyo matibabu madogo madogo ninatakiwa kujitibisha Mwenyewe.
Vijana wa CCM walianzisha Propaganda ya kuwa eti Chadema kimenitelekeza ili chama changu Pendwa kiweze kuchafuka mbele ya jamii lakini Mimi nilisimama nacho imara.
Wewe Ndugu Albert ni mda Mrefu umepata ajari CCM hakijachukua hatua yoyote ya kupata matibabu wamekutelekeza mpaka umefia Nyumbani rafiki yako wa karbu ameniambia.
Cha ajabu hata tu humu Facebook sijaona hata picha yako moja ya kukuombea pole ulipopata Ajali walikusahau na Leo Umekufa hata mmoja sijamuona akikuambia upumzike kwa Amani wanapost habari ya Masha aliowasaliti Leo wanafurahia kurudi kwao wakati hawaskitika kuondoka wewe uliokuwa mtiifu kwao.
Wangweze kukupeleka nje kwani wao ni chama tawala wanakila kitu CCM ilikutumia siku ya kampeni zilipoisha ukatupwa kama Karai Kweli hii ni Roho ya kishetani Pumzika kwa Amani Kada.
Katuona sie wote punguani tusio na kumbukumbu ya kile kilichojadiliwa awali kwenye Uzi wake ...Huyu jamaa ni mnafiki sana.Kama chadema ilikua inakujali pindi ulipopata matatizo,inawezekana vipi uuze kiwanja?
Dogo haoni mwenzake Lissu anavyopata matibabu Nairobi yeye mpaka akataka kuuza kiwanja sa hv anakuja kutokwa povu hahaaaaa eti CCM wangempeleka nje yeye Mhere Mwita alipovunjika Dodoma alipelekwa nje? Zaidi aliishia kisimangwa na wachaga kina Malisa kuwa futa haraka hiyo comment yako naye akatii mwenzake Lissu fasta alipandishwa ndege yy akabaki kulia lia mpaka leo sizan hata kama alisharudi chuoWe jamaa ulitelekezwa mpaka ukauza kiwanja ili ujitibu. Badae ukaamua kuisafisha CHADEMA ila ulikuwa ushachelewa maana watu wako wa karibu walishaongea kila kitu.
Ushahidi => CHADEMA wamtelekeza Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Geita, Mhere Mwita baada ya kupata ajali Dodoma
=> Masikitiko: CHADEMA pesa ya ruzuku ni kwa ajili ya nini? haitumiki kutibu viongozi?
Mtu anayehudumiwa na chama hawezi kufikia uamuzi wa kuuza kiwanja ili akajitibie, ndugu ya Mhere Mwita stuka huko hakukufai, mimi nilikimbia baada ya kuona nafasi nyeti wanapeana wakaskazini.