Pumba za mahindi

Salhat

Senior Member
Joined
Oct 14, 2018
Posts
182
Reaction score
417
Hlw Wana jf
Karibuni mjipatie pumba nzuri kwa ajili ya mifugo inachakula Cha kutosha

Tunapima sado 1000
Nusu sado. 500
Gunia 27,000
Gunia linakuwa na sado 30 na Zaid
Wale wateja wataochukua kwanzia gunia 5 usafir watapata bure
Tunapatika Moshi holili barabara ya kwenda taveta Kenya karibuni sna
Mawasiliano 0692724797
 
Hii lugha ya sado huwa inachanganya kidogo,,
Sado ni ule mfuko wa sulphate wa kg 25
 
Kumbe huko Moshi pumba ni ghali kuliko Dar.maana Dar siki hizi pumba si zaidi ya 15000 kwa gunia.
 
Hii lugha ya sado huwa inachanganya kidogo,,
Sado ni ule mfuko wa sulphate wa kg 25
Hapana n kopo ambalo ukipima nalo kitu Mara mbili unajaza ndoo ndogo kwahyo n nusu ya ndoo ndogo
 
Kumbe huko Moshi pumba ni ghali kuliko Dar.maana Dar siki hizi pumba si zaidi ya 15000 kwa gunia.
Yah maana utaeka usafir+ wapakia mzgo+wanaoenda kushusha+ mfuko kwahyo mpka kufika huku gharama inakuwa juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…