kabla hujalaumu kagua na hakikisha matumizi ya gari yako, manake niliwahi kutana na mdau mmoja akiwalalamikia TOTAL toto nao wakakataaa, jamaa akaenda police, kisha ewura na zile mamlaka zikaja kagua hizo mashine...huez amini jama alolalamiaka ndo alikuwa na kosa.... huwa yanatokea bali ili uwe na uhakika wa kujitetea hakikisha gari yako haina boriti kwanza
Mm na ki IST changu najua budget yangu kwa week so huwa kimshale kikiwa E nikiweka mafuta ya 40,000 najua yanafika wapi.
Risiti haizuu kuibiwa mkuuWako makini na risiti lakini. Ukiweka mafuta lazima watakupa risiti bila kuomba. Sasa wamekuibiaje?
Hebu fafanua zaidi. Kwahiyo kama risiti ikisema umelipa shilingi kiasi fulani kwa lita kiasi fulani bado tu si kweli?
Utaratibu ni kuzima gari ukifika petrol station.Mkuu umenikumbusha siku moja tulijaza mafuta hapo, jamaa yangu kiherehere chake kuwahi foleni akaondoa gari kabla mhudumu hajafunga kizibo cha tank, tukaingia barabarani tunamwona mhudumu anatusimamisha, jamaa akasema asitusumbue kama amepunjika ujinga wake, tumeingia vichochoroni kumbe mafuta yanamwagika tunashangaa watu wanatazama gari kila linapopita, sikumbuki alipita njia za wapi tumefika Bunju gauge imeinama, kimlango cha tank kilijifunga na mafuta yakaendelea kuevaporate, siku ya pili tunakwenda Msata tumefika Total filling station Bagamoyo karibu na pale round about jamaa anashangaa wanamuuliza kizibo kipo wapi? Akaanza kuwalaumu wale wa Puma Mbezi, ikabidi aombe mtu dar aende Puma Mbezi akachukue kizibo aagize kwenye bus mpaka Bagamoyo, tangu saa 3 asubuhi tuliondoka saa 9 jioni.
NDIOHv pamoja na utoaji wa risiti unaweza ukapigwa!!!?
Zile sheli za njano vp mzee
HOWNDIO
Siku zote vituo wanavyopiga watu wanaenda na dumu anajaza anasepa ingawa sio rahisi kwenda na dumu may be mafuta ya elfu 10Mara nyingi tunalaumu vituo vya mafuta hata hivyo lakini sisi pia magari yetu wakati mwingine unakuta ni mabovu, mimi wakati mwingine nanuna kwenye dumu langu napima kama ujazo wake uko sawa
Huwa najaza puma africana PUMA! Total and puma ndo wako Poa always ila hawa wa Tangibovu something is very wrong. Bora hata hizi shely za njano kuna mmoja near shoppers masaki wakiweka wese hata la elf 10 unaona mshale una move! I know my car siwez kuharibu biashara ya watu au kupoteza muda kuandika! Something is very wrong pale.
Sent from my iPhone using JamiiForums