¤Kwenye suala la public speaking, Edward Lowassa anatia huruma sana.
¤Nimeona siku akijiunga na CHADEMA. Hotuba yake alikuwa anaikosea kosea japo yote alikuwa anaisoma. Kwenye mkutano ule alifunikwa sana na hotuba ya Freeman Mbowe.
¤Akiongea bila kusoma, hususan akijibu maswali, anakuwa na majibu ya jazba "shut up and keep quiet".
¤Kwenye gesture ndio kuna matatizo zaidi. Labda kutokana na Parkinson disease iliyomfanya ashike kadi ya CHADEMA kwa mkono wa kushoto.
¤Siku aliyoanza kampeni kule Arusha ilikuwa hivyo hivyo. Alikuwa na hotuba ya kusoma ambayo alikuwa anaikosea kosea. Tukio zima likafunikwa na mzee Kingunge.
¤Naangalia kama kutakuwa na mdahalo kati ya Lowassa na Magufuli basi Lowassa atafunikwa sana ukichukulia uwezo wa Magufuli wa kukariri takwimu.