Public Prosecution by Police Officers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Public Prosecution by Police Officers

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Bagenyi, Nov 8, 2011.

 1. B

  Bagenyi Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanajf wenzangu naomba mnieleweshe hili, ni vifungu gani vya Criminal Procedures Act vinawapa Police wenye rank ndogo kuendesha mashtaka as Public Prosecutors tofauti na sheria inavyotaka eti kuwa PP lazima awe na rank kuanzia Assistance Inspector na kuendelea. Make naona hata CONSTABLES wanaendesha kesi kisa eti wanaangalia qualifications km uwezo, degree ya sheria, etc!
   
 2. j

  jigoku JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Nashindwa hata kuchangia maana hawa watu wanoitwa polisi roho yangu inauma juu yao,ila Mungu haja lala,one day yes,na siamini kama kweli Mungu atayashangilia matendo haya mpaka mwisho w dahari.Ni kweli hawa watu wanajitia wana sheria na wanajua kila kitu ila sawa kwa kuwa saa yaja kama mwizi.na siku hiyo itakuja kama kifo hakina taarifa ili ujiandae au ukate rufaa,siku ya kuja hakuna anaeijua wala saa hakuna.
  Wa TZ watajikomboa tu hata kwa damu na hata imwagike kama mto au maji ya bahari,lakini lazima siku itimiee
   
Loading...