donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salam wakuu,
Mimi ni mpenzi sana wa FPS games zenye multiplayer option (online). Nimecheka games nyingi tu, Sasa kitambo nilisikia hii PUBG watu wengi wanaizungumzia. Ni game ambayo ipo almost kwenye platforms zote, lakini nimejaribu kuangalia graphics zake naona za kawaida sana huwezi linganisha na COD au MOH kabisa lakini Cha ajabu nashangaa jinsi watu wanavyoipenda hii game.
Napenda kuuliza, Ina specific features gani ambazo ,zinafanya kupendwa hivyo na watu? Hapa naiangalia tu playstore natamani niidownload lakini nahofia kupoteza bando langu bure mwishowe nisiipende. Kwa aliyeicheza naomba mrejesho wake wakuu.