HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,399
- 6,077
Wakuu habari ni naomba msaada wa maelezo maana leo ninampeleka kitimoto kibla sasa nataka kujua ili kuzuia mimba zisizo tarajiwa maana sina mpango wa kutumia condom sasa kunaile dawa inaitwa PT nadhani matumizi yake ni kabla au baada ya tendo ili niiandae akija ameze tu