Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,565
- 47,015
Hahahahaha espy kanapenda ligi sana....espy haka katoto nitakasambaratisha kama dola ya urusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha espy kanapenda ligi sana....espy haka katoto nitakasambaratisha kama dola ya urusi
Sio super substitution..... TehHahahaaaa!! Baby huyo ni rafiki tu.
Thubutuuuuuuuu!!!!Sio super substitution..... Teh
Watu na mali zao wamekaa pembeniThubutuuuuuuuu!!!!
Sawa baby.umepatia sanaa
weekend ya wiki ijayo tutakwenda kuangalia ligi ya epl
Ndoa tamu sana usiongee kwa chinichini paza sauti au una mgegedo wako humuKula like mkuu....ndoa tamu jamani
Timu yetu arsenalSawa baby.
Baby ulipo nipo, kwahiyo hiyo ndio timu yetu.Timu yetu arsenal
hakuna mjadala
ndo timu yetuBaby ulipo nipo, kwahiyo hiyo ndio timu yetu.
Hapa sijakuelewa!!!ndo timu yetu
tukiangalia mpira wewe ba apasiwe Xhaka tu