Platov agnt
Member
- Nov 22, 2018
- 81
- 50
Mkuu nilikua naomba kuliza JE NI KWANINI IKATOKEA UMEVUTA NA BAHADA YA HAPO UKANZA KUTAPIKA/ tangu ianze kunitokea nimeacha kabisaView attachment 1760479
Cannabis Buds ( Smokable Part!
View attachment 1760481
Hii ndio Buds iliyokuwa Harvested and cured ready for the kick and kush .
This one unaweza kutengenezea chai [emoji477]️ yaani ukachemsha kama chai na ina taratibu zake. Au ukaweka kwenye keki and other foods.
Ukitumia hii kitu , you will get high . Kama ukinywa as tea , and if the the strength of THC ranges between 100mg to 200mg , my friend you will get a kick ambayo itadumu for at least 6 hours. Imagine getting high for 6 hours ,LMFAO [emoji38]. Unawezaa enda Dukani kwa mangi ukiwa na sabuni na ndoo ya maji ukidhani ni BAFU la kuogea ha ha !
But , huko India wanatumia chai kama hii for spiritual Connotations and mysterious of life. Especially pia Kwenye ritual ceremonies and soul communication to the divine nature.
It give you the hit that lasts. Ila Ukismoke the effect will be only 1 hrs or less .
Wanao enjoy hii kitu ni wale ambao wanatumia for malengo maalumu na sio RECREATIONAL.
Huu mmea ndio siri ya mapadri na wachungaji wengi wanaojifanya SMART na kumjua Mungu sana
Mkuu nilikua naomba kuliza JE NI KWANINI IKATOKEA UMEVUTA NA BAHADA YA HAPO UKANZA KUTAPIKA/ tangu ianze kunitokea nimeacha kabisa
Dah[emoji23][emoji23] hii nadharia kwa vitendo itakuja kupagawisha wqtu
Nakuelewa sana mkuuUkifanikiwa kwenda India utakutana na hawa manabii wa sasa wengi sana. Wanaenda kujifunza namna ya kuamsha hizi the subconscious energy kwa mafundisho maalumu na kwakutumia hizi benefits za
1. Cannabis( the mother healing )
View attachment 1761890
2. , San Pedro( the ultimate divine , the secret of our world) ,
View attachment 1761893
3. DMT ( the mystical Plants and medicine) ,
View attachment 1761894
4. Magic Mushroom( the tree of knowledge and evil which was located at the center of garden - the tree was good for the soul, body and mind . The magic mushroom brought us on earth with only one condition — Physical death ... and the first man actually chose... it .
death came from magic mushroom ( Elixir Of Death , the Vial of pendant eternity ) and it was a CHOICE. Our Choice ! . The Magic Mushroom gave us small life on earth but BIG DEATH.
View attachment 1761900
Our great prophets like Bob Marley, The Beatles, Steve Jobs etc etc wameitumia India vizuri sana and these divine plants ( Psychedelic)
they gave us the best lesson on earth. They left something behind that it does exist to date.
It has been and always Will .
I noted👏 Ila kingine chief kuna mda inatokea kama mapigo ya moyo yanaenda kasi? Hua kamakuna kinywaji baridi na ni kitamu KWANIN UKINYWA BHAS HIO HALI INAPOTEA ila ni kweli nakumbuka kipindi nipo chuo ilikuaunamix na sigara nyota👀 na kama ukizidisha io nyota bhasi hali ya mapigo ya moyo lazima yaende kasi na ni tofauti ukivuta dry/yaani bilamchanganyiko wowotePole sana.
Kitaalamu inaitwa Hyperemesis Syndrome. Hutokea kwa baadhi ya watu.
Kimsingi the main reasons ya why inatokea haijulikani. Science bado haijui mengi kuhusu this divine and mystical plant. Everyday is our learning day.
However, hyperemesis inahusishwa na kutumia mmea mara kwa mara. Au ulitumia mmea ambao ulikuwa associated na viambata vingine, na ndio maana baadhi ya watu hupendelea kuvuta mmea kwa kutumia Bong ili kufilter viambata vyote na kupata pure THC.ambayo inakuwa smoked
View attachment 1761647
Sababu nyingine ni Genetic dispositions . Yaani ni mambo ya kurithi kama unavoona urefu, ufupi , magonjwa kama kansa, kisukari mara nyingi pia ni genetic disposition.
Kwa sababu faida nyingine ya Mmea ni kutibu kichefu chefu na kutapika na ndio maana wagonjwa wa kansa wanaotumia Dawa kama Docetaxel, Paclitaxel , Cyclophosphamide , Bicalutamide etc etc wanapata shida ya kutapika na kichefu chefu Hivyo wanakuwa prescribed na THC tablets kuondoa hiyo hali.
receptors za Brain yako zina Kuwa repeatedly Ina reverse the process za endocannabinoids System that is why unapata hyperemesis syndrome.
The best approach ni kuachana na mmea wa ku smoke. You might shift to edible( Food)
Hii ni kwasababu, ukila mmea, THC inaenda kuwa decarboxylated by liver kisha ita form
11- Hudroxy THC ambayo yenyewe ni kama tu THC isipokuwa yenye inanguvu kidogo , so you will have to monitor your dose .
Here it seems kwamba endocannabinoid System yako kwenye brain cells iko repellent na THC. So we trick the brain , tunaipeleka THC tumboni na kubadilishwa kuwa 11 - OH-THC , then you won’t feel nausea or vomiting
Pole.
👏 Asante sana Mkuu, nimejifunza mengi. Nafuatilia uzi vyema ili nitumie mmea bila shida. Na nitumie for reason.Ukifanikiwa kwenda India utakutana na hawa manabii wa sasa wengi sana. Wanaenda kujifunza namna ya kuamsha hizi the subconscious energy kwa mafundisho maalumu na kwakutumia hizi benefits za
1. Cannabis( the mother healing )
View attachment 1761890
2. , San Pedro( the ultimate divine , the secret of our world) ,
View attachment 1761893
3. DMT ( the mystical Plants and medicine) ,
View attachment 1761894
4. Magic Mushroom( the tree of knowledge and evil which was located at the center of garden - the tree was good for the soul, body and mind . The magic mushroom brought us on earth with only one condition — Physical death ... and the first man actually chose... it .
death came from magic mushroom ( Elixir Of Death , the Vial of pendant eternity ) and it was a CHOICE. Our Choice ! . The Magic Mushroom gave us small life on earth but BIG DEATH.
View attachment 1761900
Our great prophets like Bob Marley, The Beatles, Steve Jobs etc etc wameitumia India vizuri sana and these divine plants ( Psychedelic)
they gave us the best lesson on earth. They left something behind that it does exist to date.
It has been and always Will .
Mkuu naomba nisamehe kwa kukumention Jina lako lkn sikua na dhamira mbaya just wewe ndio mtaalam ambae tunafanya reference kwakoHee We Kijana , Ushaanza kuni Quote, eti Kama MK54 alivyosuggest ........ oooops , come on .
we do not mention people’s name . Tunasema hivi ,
nimevuta Puff 2 kama ilivyoshauriwa na wataalamu.
Well ....I’m...., nimekuelewa.
1. Naomba ulete swali lako baada ya SAFE DOSE. Nikipata time ninaachia hiyo part leo au kesho.....
2. Tumesema chenye THC nyingi ni Cannabis Flowers , sio majani ya Bangi . Majani ya bangi ukivuta au ukila possibility ya kuwa high ni ndogo au hakuna... only utapata healthy benefits tu, sio psychoactive effects .
Kula majani ya bangi ni sawa na kula matembele. THC ni ndogo sana Kwenye majani, na ili upate effect , you will need lots of leaves like gunia to get effect.... is it practical ? NO !
3. Halafu that is not good guys, you read something hapa kisha unaenda kuvuta.... that is not good at all na ndio maana tunasita kutoa mambo mengi humu ... some people are not serious kabisa.
Ukienda kupata shida huku you will say nilisoma kwenye Uzi ? Please let’s stop the hell !
4. If you think hujaelewa.... check me PM.
Hatutaki kuifanya Hii THREAD kuwa ya kihuni. This thread has to be a living document .
Mimi najua madhara ya Bangi ndio maana i am bit harsh .... sorry for that.
Nimefanya kazi Mirembe na MUHIMBILI Psychiatre Department..... I know , 40% ya ukichaa pale ni Marijuana induced.
It is no joke when we say , you need to lower your fantasy , and get the knowledge first.
Thanks
Mkuu naomba nisamehe kwa kukumention Jina lako lkn sikua na dhamira mbaya just wewe ndio mtaalam ambae tunafanya reference kwako
Na incase kitu kimeenda tofauti tunauliza kwako ili utufahamishe wapi nime/tumekosea
Kama sasa umetupa njia ya kufanya right dosing bila kukutana na scenario hizo na kuuliza tutajifunza wapi?
Ukifanikiwa kwenda India utakutana na hawa manabii wa sasa wengi sana. Wanaenda kujifunza namna ya kuamsha hizi the subconscious energy kwa mafundisho maalumu na kwakutumia hizi benefits za
1. Cannabis( the mother healing )
View attachment 1761890
2. , San Pedro( the ultimate divine , the secret of our world) ,
View attachment 1761893
3. DMT ( the mystical Plants and medicine) ,
View attachment 1761894
4. Magic Mushroom( the tree of knowledge and evil which was located at the center of garden - the tree was good for the soul, body and mind . The magic mushroom brought us on earth with only one condition — Physical death ... and the first man actually chose... it .
death came from magic mushroom ( Elixir Of Death , the Vial of pendant eternity ) and it was a CHOICE. Our Choice ! . The Magic Mushroom gave us small life on earth but BIG DEATH.
View attachment 1761900
Our great prophets like Bob Marley, The Beatles, Steve Jobs etc etc wameitumia India vizuri sana and these divine plants ( Psychedelic)
they gave us the best lesson on earth. They left something behind that it does exist to date.
It has been and always will
https://www.youtube.com/watch?v=ufHUkNefugc
Peace kakaAsante kaka. Samahani pia if I have offended you.
We are learning from each other.
Thanks
HahahahaaaaNgoja nianze bangi leo
Mkuu nipo siti ya mbele kabisa nasubiria nondo,BTW nina mpango wa kuipanda kabisa back yard
Ngoja nianze bangi leo
inatakiwa utumie vitu gani kutoa moshi baada ya kusmoke?Roger that, I agree with you. Ukisoma vyema post zangu utaona nimesisitiza sana under guidance.
Hata Mimi I spent 4 weeks and half in Amazon kuwa trained to understand the ultimate divine nature of these psychedelic plants.
Leo hii, mmea common Tu kama Bangi, ni dawa ya magonjwa mengi sana na hutumika sana katika spiritual transcendence beyond all odds, lakini je wangapi wanajua namna ya kutumia bangi, na je unajua unapaswa kutumia kitu gani baada ya ku Smoke Bangi ili kusafisha moshi and after effect.
Hii ndio shida ya vijana wetu wanafanya vitu bila maarifa. Nikikwambia 90% ya politicians Hapo TZ na nchi nyingine wanatumia mmea na mimea Hii , can you believe that.
Bahati mbaya hapa ni social media.
Mmasai anakula nyama everyday, but husikii ana kidney failure, blood pressure etc etc? Lakini ukirudi kwa wachaga wenzangu wengi ni ma pressure, kidney, matatizo ya miguu, hii ni kwa sababu wanapenda kula
Nyama but hawajui kuipika nyama kutoa toxic zote kwanza.
Wamasai wanapenda nyama na wanajua kuitengeneza ili kutoa sumu zote na odds.
Kila kitu ni guidance kaka. Haya mambo hayajawekwa kwa bahati mbaya .