Leo hata pensheni za wazee hawajalipa, hakua hela za kuwalipa. Hii nchi inabidi watu wabadilike.Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani malofa.
Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.
Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA na baadhi ya wahariri wa media.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania atakapokuwa mzee wa miaka 60. Ni unafiki mtupu. Wanajua wakikunyima pesa yako sasa utakufa anyway na hivyo kutodai mafao yako.
Hivyo PSSSF na NSSF kupendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed SSRA. Why nilazimishwe kusubiri miaka 55 kuchukua pesa yangu ya mafao baada ya kuachishwa kazi? Kwa nini nilazimishwe kuchukua roborobo kupitia ujinga unaoitwa unemployment benefit!!? A stinking usanii!
Wanasema unapoacha kazi sehemu A uombe kazi sehemu C! Hivi akina lousy Mhagama wanajifanya hawajui ugumu wa kupata ajira Bongo? Kwa uchumi gani?
Wanapata wapi courage ya kumwambia mtu aliyeacha kazi akiwa na miaka 49 asubiri hadi miaka 60 ndio achukue pesa zake ambazo kiukweli ni ndogo masikini. Nani atamwajiri mtu mwenye miaka 50?
Nasikia hawajazingatia hata mfumuko wa bei. Ukiwa na laki moja baada ya miaka 10 utakuja kulipwa kiasi hicho hicho. No interest. No nothing. Huu ni mpango wa ovyo kabisa na ni kaburi kwa wanachama wenye mishahara midogo.
Mtu ana milioni 2 mnataka kumpa kidogo kidogo eti kusubiri apate ajira nyingine. Si mumpe hela yake akajiajiri?
This is a great injustice and the whole law is bad very bad to low income earners.
Ajira hakuna waacheni wanachama watafute plan B. Kwani lazima kuajiriwa? Watu wapewe pesa zao bwana pindi tu wanapoacha kazi.
Mtajitakia laana za bureee wanachama wakifa kabla ya kulipwa fedha zao.
Ila kwa kuwa sheria hizi sio msahafu au kabila... mwache afanye atakavyo kutunyonya ili akamilishe miradi yake.... ni uonevu usiomithirika kwa watumishi wa kima cha chini..pindi wakistahafu..!
Tumwombee kwa Mungu naye amtese pamoja urais wakeIla kwa kuwa sheria hizi sio msahafu au kabila... mwache afanye atakavyo kutunyonya ili akamilishe miradi yake.... ni uonevu usiomithirika kwa watumishi wa kima cha chini..pindi wakistahafu..!
Serikali nyingi Zinau. Na hii ni style mojawapo ya kuua watuMabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani malofa.
Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.
Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA na baadhi ya wahariri wa media.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania atakapokuwa mzee wa miaka 60. Ni unafiki mtupu. Wanajua wakikunyima pesa yako sasa utakufa anyway na hivyo kutodai mafao yako.
Hivyo PSSSF na NSSF kupendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed SSRA. Why nilazimishwe kusubiri miaka 55 kuchukua pesa yangu ya mafao baada ya kuachishwa kazi? Kwa nini nilazimishwe kuchukua roborobo kupitia ujinga unaoitwa unemployment benefit!!? A stinking usanii!
Wanasema unapoacha kazi sehemu A uombe kazi sehemu C! Hivi akina lousy Mhagama wanajifanya hawajui ugumu wa kupata ajira Bongo? Kwa uchumi gani?
Wanapata wapi courage ya kumwambia mtu aliyeacha kazi akiwa na miaka 49 asubiri hadi miaka 60 ndio achukue pesa zake ambazo kiukweli ni ndogo masikini. Nani atamwajiri mtu mwenye miaka 50?
Nasikia hawajazingatia hata mfumuko wa bei. Ukiwa na laki moja baada ya miaka 10 utakuja kulipwa kiasi hicho hicho. No interest. No nothing. Huu ni mpango wa ovyo kabisa na ni kaburi kwa wanachama wenye mishahara midogo.
Mtu ana milioni 2 mnataka kumpa kidogo kidogo eti kusubiri apate ajira nyingine. Si mumpe hela yake akajiajiri?
This is a great injustice and the whole law is bad very bad to low income earners.
Ajira hakuna waacheni wanachama watafute plan B. Kwani lazima kuajiriwa? Watu wapewe pesa zao bwana pindi tu wanapoacha kazi.
Mtajitakia laana za bureee wanachama wakifa kabla ya kulipwa fedha zao.
Kipindi hii sheria inataka kupitishwa mlikaa kimya mkiwaacha watu wapige kelele bila msaada Leo ndio mnaona matokeo yake ambayo watu wenye maono walishatabir toka miaka mi4 iliyopita.....Vumilieni tu huku mkimuomba Mungu awafanyie wepesi .Mabadiliko PPF na NSSF imekuwa mwiba mchungu na wenye sumu kali kwa wafanyazi wanyonge yaani malofa.
Blabla zinazoendelea sasa kuhusu fao la kukosa ajira kama mbadala wa withdrawal, ni geresha tu. Ukweli ni kwamba mifuko ya hifadhi ya jamii ni source nzuri sana ya mapato kwa Serikali.
Ukweli ni kwamba Gvt imeamua makusudi kuwaibia wanachama wa mifuko hii na umma unapumbazwa kupitia vibaraka kama SSRA na baadhi ya wahariri wa media.
Si kweli kwamba Serikali inajali welfare ya mtanzania atakapokuwa mzee wa miaka 60. Ni unafiki mtupu. Wanajua wakikunyima pesa yako sasa utakufa anyway na hivyo kutodai mafao yako.
Hivyo PSSSF na NSSF kupendelea kuneemeka kwa pesa za wafu. Cursed SSRA. Why nilazimishwe kusubiri miaka 55 kuchukua pesa yangu ya mafao baada ya kuachishwa kazi? Kwa nini nilazimishwe kuchukua roborobo kupitia ujinga unaoitwa unemployment benefit!!? A stinking usanii!
Wanasema unapoacha kazi sehemu A uombe kazi sehemu C! Hivi akina lousy Mhagama wanajifanya hawajui ugumu wa kupata ajira Bongo? Kwa uchumi gani?
Wanapata wapi courage ya kumwambia mtu aliyeacha kazi akiwa na miaka 49 asubiri hadi miaka 60 ndio achukue pesa zake ambazo kiukweli ni ndogo masikini. Nani atamwajiri mtu mwenye miaka 50?
Nasikia hawajazingatia hata mfumuko wa bei. Ukiwa na laki moja baada ya miaka 10 utakuja kulipwa kiasi hicho hicho. No interest. No nothing. Huu ni mpango wa ovyo kabisa na ni kaburi kwa wanachama wenye mishahara midogo.
Mtu ana milioni 2 mnataka kumpa kidogo kidogo eti kusubiri apate ajira nyingine. Si mumpe hela yake akajiajiri?
This is a great injustice and the whole law is bad very bad to low income earners.
Ajira hakuna waacheni wanachama watafute plan B. Kwani lazima kuajiriwa? Watu wapewe pesa zao bwana pindi tu wanapoacha kazi.
Mtajitakia laana za bureee wanachama wakifa kabla ya kulipwa fedha zao.
Si kweli, badili kauli, Unalaumu bure. Wingi wa CCM ndio uliopitisha huu ushetani, mashetani waliitisha ushetaniKipindi hii sheria inataka kupitishwa mlikaa kimya mkiwaacha watu wapige kelele bila msaada Leo ndio mnaona matokeo yake ambayo watu wenye maono walishatabir toka miaka mi4 iliyopita.....Vumilieni tu huku mkimuomba Mungu awafanyie wepesi .
Iyo kwaajili ya wafanya kazi wa serikali au mpaka campuny binafsi itawakuta
Kama wewe muajiriwa inakuhusu
Yani nilikuwa nataka kuacha kazi kisha hela zangu za Nssf niongezee na nilizo make nifanye biashara Dahhhh! Ningekuwa sina family ningekimbia hii nchi
Kazi nifanye PAYE nilipe, VAT nilipe bado na hela yangu wanayoikata kwenye mshahara napo waichukue. Wangeweka hata utaratibu wa kila baada ya miaka kadhaa mtu achukue mafao yake. Huku ni kukomoana kwa kweli. Miaka 60 kuifikia sio rahisi. Wengi tutaondoka tutawaacha na pesa zetu
Ukiona kiza kimezidi ujue kunakaribia kupambazuka lakini pouwa.Aaaah.. sahau hilo jambo. Subiri ufike 60yrs utaenda kuzichukua. Sasa hivi ukiacha kazi tafuta hela ya kufanyia biashara za NSSF zisahau tu
Waserikali wanalipwa 30% ya mafao Yao mengine mdogo mdogoIyo kwaajili ya wafanya kazi wa serikali au mpaka campuny binafsi itawakuta
Aaaah.. sahau hilo jambo. Subiri ufike 60yrs utaenda kuzichukua. Sasa hivi ukiacha kazi tafuta hela ya kufanyia biashara za NSSF zisahau tu