We acha tu hii serkali imeyumbisha uchumi makampuni yanashindwa kujiendeSha watu wanapunguzwa na ajira hakuna..... Kulipa mafao haiwezi sijui wanategemea Nini af wanatuletea ndege tuzifanyie kitu gani
Wameshindwa kuwalipa wa staafu ka walivyo ahidi, kwamba ifikapo January mwisho, watakua wameshawalipa wote. Imeshindikana, subirini kauli tata nyingine. PSSSF, ni janga la taifa.
Sasa wanasema wanasubiria muongozo wa Wizara tokana na kauli ya Rais, hizi blablabla is too much.
PSSSF, lipeni madeni ya wastaaf, inaonekana wanatumia hela vibaya za wanachama. Haiwezekani kulipa wastaafu na wengine iwe tatizo. Mbona wanapokea vizuri makato ya wafanyakazi.