Hivi inawezekana PSSF wakakipa salio dogo kulikoni ulilochangia?Mimi nilikuwa nafanya kazi sehemu.Nilikuwa nachqngia mfuko wa LAPF kabla ya sheria kubadilisha 2018 na sisi wa Private kurudishwa NSSF tangu 2018 August..Hela zangu za mwanzo zikabaki LAPF ambayo ikawa PSSSF jumla ya million 18 Kwa kuziona kwenye statement,nilikuwa natizama!Sasa mkataba uliisha nikachukua Hela zangu zote za NSSF,zote tangu 2018 August mpaka pale nilipoachia kuchangia 2023. Niichukua Hela zangu zote za NSSF baada ya mkataba kwisha!Sasa zikabaki za LAPF ambazo zinalipwa na PSSSF,Cha ajabu baada ya taratibu zote kukamilika,nimelipwa million 15,na nilichangia 18.Naomba kuelewa wadau ili linawezwkanaje?Kuchangia million 18 na kulipwa 15.Msaada wadau wangu tafadhali mwenye kulijua hili!