mfuko wa psssf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Mafao yangu ya 'Special Lumpsum' yamekuwa kero badala ya haki yangu, nazungushwa

    Ni miezi sita kasoro sasa tangu ajira yangu ya mkataba Serikalini ikome. Mwezi wa nne nilifanya maombi ya mafao ya special lump sum nikiwa na baadhi ya wafanyakazi wenzangu, ambao baada ya takribani mwezi mmoja tu walifanikiwa kupata mafao yao. Changamoto ni kwangu tu, sijui kuna shida gani...
  2. ThisisDenis

    JamiiForums Tanzania PSSF

    PSSSF ni nyi ni jipu, kwa nini mnashindwa kufuatilia kampuni ambazo haziweki mafao ya hiadhi za kijamii kwa watumishi, shida inakua nini au lengo lenu ni kuwadhutumu watumishi😡😡😡🤬🤬🤬 mnakera sana ninyi ndio mnategemewa kwa nini msioneshe msaada ?
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PSSSF yatoa ufafanuzi madai kuwa kuna changamoto ya huduma katika Tawi la Arusha

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai kuwa Mamlaka husika zichukue hatua juu ya Tawi la Arusha anapodai kuna huduma zisizoridhisha na kwamba wamekuwa hawawajali Wateja. Kusoma zaidi alichoandika...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi, nimeambiwa hatutaweza kunufuika na mfuko wa PSSSF. Ni kweli?

    Nimeteuliwa kuwa msimazi wa mirathi wa Mali za mama mzazi, nilipofuatilia mafao yake (PSSF) nilijibiwa ya kuwa kama ameshapokea fao lake kustaafu pamoja na fedha za kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu baada ya kustaafu basi sisi watoto hatutoweza kunufaika na mfuko huo. Kinachonishangaza ni...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu utaratibu wa pensheni kwa watumishi wa umma hasa Mawaziri baada ya kutenguliwa nafasi zao

    Masaa machache yaliyopita, nimeona baadhi ya mawaziri waandamizi na wakurugenzi wakitenguliwa nafasi zao. Swali langu: Je, viongozi wa umma nao huwa wanalipwa fao la kukosa ajira kwa kipindi cha miezi 6? Baada ya miezi 6 hawalipwi chochote hadi baada ya miezi 18 ndipo huchukua pensheni zao...
  6. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Huu mfuko wa PSSSF unapata wapi mamlaka ya kumnyima mtu fao lake kwa kusimama kama mwajiri kwa mtu iliyefukuzwa kazi?

    Hapo vip! Kuna jamaa mmoja alikuwa ameajiriwa na serikali kitengo fulani. Ila wakamfukuza kazi kwa tatizo la utoro ila hapa anasema wahuni wamemtengenezea sengwe kisa katoka masomoni akiwa na elimu zaidi ya Boss wake. Sasa jamaa kaenda PSSSF kudai mafao yake anaambia ile ya muajiri hapewi...
Back
Top Bottom