PSSF inatoa withdrawal benefits au unemployment benefits kwa vigezo vipi?

Vida1

JF-Expert Member
Jul 6, 2019
538
1,534
Habari wakuu?

Napenda kufahamu mwajiriwa alietoka au kufukuzwa kazini akiwa chini ya mfuko wa PSSSF mwaka 2019 anaweza kupewa hela yake yote kwa mkupuo au atalipwa kidogo kidogo kwa kufuata taratibu za kikokotoo Cha asilimia 33.3 ?

Nawasilisha wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea una miaka mingapi ya uanachama tangu ujiunge na psssf.
Kama uanachama wako una muda zaidi ya mwaka mmoja na nusu basi utakuwa unalipwa 33.3% ya mshahara wako kila mwezi kwa miezi 6 mfululizo.
Na Kama uanachama wako una muda chini ya mwaka mmoja na nusu utapewa 50% ya pesa yako yote(jumla ya michango yako) baada/ndani ya miezi 6 na kiasi kilichobaki utapewa baada ya miezi 18 ukithibitika kwamba bado hujapata ajira nyingine.
Naamini nimeeleweka vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom