PSRS: Vipi kuhusu SSRA majibu ya usaili

PSRS: Vipi kuhusu SSRA majibu ya usaili

ikersmn

Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
18
Reaction score
16
Ningependa kuuliza kama kuna mtu yoyote mwenye kujua updates zozote kuhusu hawa jamaa, maana interview ilifanyika toka mwez wa saba na wa nane mwanzoni, majibu ya wote tuliofanya nao naona yameonyeshwa 23-aug lakin ya ssra naona kama hayapo, vipi ni kwamba yame sahaulika au ndo kuna wenzetu wapo mzigoni sa hv, sie 2nang'aa macho tu kusubiri majibu??? :what::what:
 
yaani unauliza kama wameita kazini au matokeo ya written interview,?
 
Juzi nimemskia mtu anasema eti kaitwa kazini hapo ssra kitengo cha records management lakin nashindwa kuelewa hawajaitangaza kwenye website yao au ananizingua maana na mimi nilifanya usahili.pale ardhi ilikuwa 8/7/2014 psrs bhana yani!!!!
 
Back
Top Bottom