D dumejike JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 325 Reaction score 68 Sep 13, 2014 #41 madukwappa said: Si kweli bhana nimewahi fanya usaili wa kuandika wa HR sikukuta hata swali moja nililosoma darasan chuo kikuu ingawa ni kweli kwamba mara nyingi yanakuwa ya darasani Click to expand... Haya mkuu asante kwa kunifumbua macho
madukwappa said: Si kweli bhana nimewahi fanya usaili wa kuandika wa HR sikukuta hata swali moja nililosoma darasan chuo kikuu ingawa ni kweli kwamba mara nyingi yanakuwa ya darasani Click to expand... Haya mkuu asante kwa kunifumbua macho
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,869 Reaction score 29,031 Sep 13, 2014 #42 dumejike said: Hawasomi bana.hua wanaopt na wengi wao wanakimbia kuopt Click to expand... Mbona wanasoma jamani na nina uhakika maana rafiki yangu amesoma sociology hiy Hr wamesoma
dumejike said: Hawasomi bana.hua wanaopt na wengi wao wanakimbia kuopt Click to expand... Mbona wanasoma jamani na nina uhakika maana rafiki yangu amesoma sociology hiy Hr wamesoma
mapengo junior JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,135 Reaction score 276 Sep 13, 2014 #43 ************!!!!!!! sielewi
Peter Madukwa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 3,140 Reaction score 2,499 Sep 14, 2014 #44 Mapovu said: Mbona wanasoma jamani na nina uhakika maana rafiki yangu amesoma sociology hiy Hr wamesoma Click to expand... Ameopt huyo tena itakuwa once in three years
Mapovu said: Mbona wanasoma jamani na nina uhakika maana rafiki yangu amesoma sociology hiy Hr wamesoma Click to expand... Ameopt huyo tena itakuwa once in three years
M mwajungwa Member Joined Jul 1, 2014 Posts 22 Reaction score 3 Sep 14, 2014 #45 Ngoja tusubiri jamani
Chandaruaz JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 235 Reaction score 36 Sep 17, 2014 #46 Hzo nafas ya maafisa utumishi twazisubiri wengi mkuu,hta mim huwa najiuliza sana,kwann kimya mpk leo bt ngoja tusubiri mkuu tuone mwisho wao,uvumilivu ni mzr zaidi.
Hzo nafas ya maafisa utumishi twazisubiri wengi mkuu,hta mim huwa najiuliza sana,kwann kimya mpk leo bt ngoja tusubiri mkuu tuone mwisho wao,uvumilivu ni mzr zaidi.