Nimekuwa nikisubiri zile post 101 za Maafisa Utumishi daraja la II kuitwa kwaajili ya usaili lakini hadi leo patupu.....inakuwaje maana deadline ilikuwa tar 11 June, au ndio Serikali haina hela kwahiyo wana-buy time kiaina?
Nimekuwa nikisubiri zile post 101 za Maafisa Utumishi daraja la II kuitwa kwaajili ya usaili lakini hadi leo patupu.....inakuwaje maana deadline ilikuwa tar 11 June, au ndio Serikali haina hela kwahiyo wana-buy time kiaina?
Kiuzoefu mdogo nilionao kuh.utumish ni kwamba wako mbion kuita wala hakuna longo longo weng tutaitwa isu ni kupata tu.Nadhan mwsho wa huu mwez au ujao wataita tu msijal.Afu pia nimeshangaa hzo za mediator walitangaza utumish iweje usail waweke kwe daily news?
Usishangae mkuuu svoca wametatangaza kwenye gazet kwa kuwa ile ni tume huru haipaswi kuingiliwa maamuzi yake na chombo chchote kile. Psrs walitangaza lakn michakato mingine yote itafanywa na tume yenyewe ndio maana hata usahili utafanyika kwenye tume yenyewe akibaa
Huwa wanaita resonable number siku zote hawawezi kamwe kuita idadi kubwa kivile huwa wanadili na watu wenye qualification tu... ndio maana kama mtu umeitwa na tume then hujafaulu law school si rahis kupata hyo kazi ni bora watangaze tena mwakan rejea usaili wa mwaka jana wa mediator na arbitrator walikosa watu wenye vigezo wakatangaza tena mwaka huu.
poa kk naomba unisaidie kwa hilo ukirudi naomba utupie picha za hayo majina coz wengine tupo mbali sana hatuna acess ya magazeti kwa ss...nitashukuru sana ukutupia apa