Kwa mara ya kwanza kupitia PSRS ngoja tuone mtanange utakuwa vipi.
Thanks kwa taarifa mkuu.
Ongera mkuu mimi sijaitwa nashindwa kuelewa kwa nini sijaitwa
🤔 Mbona Watu Wanasubiri Mishahara ya Mwezi wa 9 au Walitangaza Nyingine hapa kati Mkuu.Za bandari mbona kimya wakuu.
Walitangaza deadline yake illikua 31 August.🤔 Mbona Watu Wanasubiri Mishahara ya Mwezi wa 9 au Walitangaza Nyingine hapa kati Mkuu.
Hiyo ni UTUMISHI na ile ndiye iliyofanya TANESCO iletwe UTUMISHI walihamisha watu vituo ile Interview.Kwa ile interview ya tanga tanesco ni noma
Ilikuwaje broKwa ile interview ya tanga tanesco ni noma
Usisahau kusoma Research bossMsada wa maswali ya economist trainee
Ndio walitangaza hiyo nafasi sema Economics iko wide sana mzeeUsisahau kusoma Research boss
Kwani Tanesco Walitangaza Nafasi ya E onomics Trainee🤔
Hivi mkuu, PSRS hawana utaratibu wa kupiga simu, kutuma sms au email kukujulisha kama umeitwa interview?Thanks a lot kiongozi hata mimi zipo interviews nyingi za nyuma sikuitwa kwa hiyo ni suala la kuomba tu kila pale inapotokea nafasi hatimaye utakuja kuitwa tu mkuu.
Tusichoke tukichoka tumeshapata.
Hecko mzazi kapambane ya hela yote usisahau lile folder la mapicha picha unayowekaga 'nyumba nii choo'Thanks a lot kiongozi hata mimi zipo interviews nyingi za nyuma sikuitwa kwa hiyo ni suala la kuomba tu kila pale inapotokea nafasi hatimaye utakuja kuitwa tu mkuu.
Tusichoke tukichoka tumeshapata.
Hecko mzazi kapambane ya hela yote usisahau lile folder la mapicha picha unayowekaga 'nyumba nii choo'