(PSRS) Kuitwa USAILI-TANESCO leo Tar 10-Sept-2019

Mpombote

JF-Expert Member
Dec 19, 2017
1,944
1,485
Majina ya kuitwa Usaili TANESCO kupitia PSRS kwa Ajira za Kudumu Nafasi mbalimbali,Kwa Maelezo Pakua Document hapo chini👇
 
Attachments

  • TANGAZO-LA-KUITWA-KWENYE-USAILI-TANESCO-10-09-2019.pdf
    6.7 MB · Views: 21
Ongera mkuu mimi sijaitwa nashindwa kuelewa kwa nini sijaitwa

Thanks a lot kiongozi hata mimi zipo interviews nyingi za nyuma sikuitwa kwa hiyo ni suala la kuomba tu kila pale inapotokea nafasi hatimaye utakuja kuitwa tu mkuu.

Tusichoke tukichoka tumeshapata.
 
Thanks a lot kiongozi hata mimi zipo interviews nyingi za nyuma sikuitwa kwa hiyo ni suala la kuomba tu kila pale inapotokea nafasi hatimaye utakuja kuitwa tu mkuu.

Tusichoke tukichoka tumeshapata.
Hecko mzazi kapambane ya hela yote usisahau lile folder la mapicha picha unayowekaga 'nyumba nii choo'
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom