Wanjax jr
JF-Expert Member
- Jun 4, 2020
- 492
- 1,264
Mamaeee wale washenzi wanakaziaga five five afu wamekuangalia usoni aseeeh interview ni vita kama vita ,siku ya kwanza ilibidi niwambie whatiiiiiiii?wakasema challenges in your working place aseeeh


hajui tu wengine tukiona vita ni ngumu kwa wakandaji, unaona hapa kuboa kazi,, ndio mbinu za ziada zinaanza kutumika ili kupambania kanzidata kwa hali na akili yote