Mashirika ya kijamii yamekuwa yakijitangaza kuwa yana huduma bora sana,mashirika haya ikiwa ni pamoja na PSPF.Shirika hili lilikuwa linasiwa kuliko mashirika yote.Hata hivyo tumeona katika siku hizi za karibuni tumeona huduma za shirika hili zikidforora kwa kiwango kikubwa.Kwa mfano wastahafu ambao walipaswa kulipa pension zao za kila mwezi angalau ifikapo tarehe moja ya mwezi wa nne mpaka leo hawajalipwa stahili yao.Mashirika haya yakumbuke kwamba wastahafu hawa wanategemea pension hizi kwa kiwango kikubwa kama vile wafanyakazi wanavyotegemea mishahara yao.Ni swala la kiutu tu na uungwana kwamba shirika hili liwe na mpango sahihi wa kuwalipa wazee hawa mapema.Ni watu waliolitumikia shirika hili kwa siku nyingi kwa hiyo ni vema wakaheshimiwa.Tukiandika andika hivi mwishoni mtapoteza wateja.
mbona wanasema hili ndo shirika makini kuliko yote. Haya mashirika hayaaminiki yote
=Wastaafu...
Halafu hizi ni fix na uache kutisha watu wewe kibarua Wa NSSF....
=Wastaafu...
Halafu hizi ni fix na uache kutisha watu wewe kibarua Wa NSSF....
Asante kwa Tarifa nimefanyia kazi na wazee wanalaumu sana Serekali hii ya Ccm na wameapa kutoirudisha ccm octoberMimi sio kibarua wa NSSF.Kwanza NSSF ndiyo mbaya kuliko.Ila uache kudakia mambo usiyo yajua.Ni kweli PSPF haijawalipa wastahafu kwa kipindi cha April,May na Juni.Kama si kweli waje hapa wakanushe.Hii imewaweka wastahafu kwenye hali ngumu zaidi ya maisha,kwa vile hali yao tayari ni mbaya.Wewe nadhani ndiye kibarua wa PSPF kwa vile inaonekana unaipigia kifua PSPF.
Mashirika ya kijamii yamekuwa yakijitangaza kuwa yana huduma bora sana,mashirika haya ikiwa ni pamoja na PSPF.Shirika hili lilikuwa linasifiwa kuliko mashirika yote ya huduma za kijamii.Hata hivyo tumeona katika siku hizi za karibuni huduma za shirika hili zikidorora kwa kiwango kikubwa.Kwa mfano wastahafu ambao walipaswa kulipa pension zao za kila mwezi angalau ilipofika tarehe moja ya mwezi wa nne mpaka leo hawajalipwa stahili yao.Mashirika haya yakumbuke kwamba wastahafu hawa wanategemea pension hizi kwa kiwango kikubwa kama vile wafanyakazi wanavyotegemea mishahara yao.Na wakumbuke pia kwamba wastahafu hawa wameneemesha sana mashirika haya.Ni swala la kiutu tu na uungwana kwamba inabidi watambue mchango wao na shirika hili liwe na mpango thabiti wa kuwalipa wazee hawa mapema.Ni watu waliolitumikia shirika hili kwa siku nyingi kwa hiyo ni vema wakaheshimiwa.Tukiandika andika hivi mwishoni watapoteza wateja.Wajirekebishe na watekeleze wajibu wao ipasavyo.
Inasikitisha sana, ni kweli wastaafu wa PSPF hawajalipwa pension ya January, February na March
mbona wanasema hili ndo shirika makini kuliko yote. Haya mashirika hayaaminiki yote