PSPF wanachelewesha mafao, kuna nini?

kakab

New Member
Mar 22, 2016
4
0
Jamani naulizia PSPF kunani?mbona hawalipi mafao, ndugu yangu amestaf since October, 2015 lakini hajalipwa mpaka Leo, msaada nifanyeje?
 
Taja hata jina labda watakusaidia maana ninaowajua hua wanapitaga humu
 
Mkuu ndugu yako kakuahidi mshiko kidogo ama vp maana naona unalalamika kuliko mwenye mafao yenyewe!
 
Jamani naulizia PSPF kunani?mbona hawalipi mafao, ndugu yangu amestaf since October, 2015 lakini hajalipwa mpaka Leo, msaada nifanyeje?

Poleni sio peke yake..... PSPF ipo ktk kundi la kifo.... Huo mfuko unaelekea kufilisika serikali isipochukua hatua
 
Pesa ya Pspf IPO mikoni mwa Serikali, sasa wao wafanyeje? Serikali ilipe ili wao wawalipe wateja wao
 
Pesa ya Pspf IPO mikoni mwa Serikali, sasa wao wafanyeje? Serikali ilipe ili wao wawalipe wateja wao
Jamani yaani inasikitisha sana kuna walimu wamestaafu toka mwaka jana mwezi wa 8 yaani wanavyozungushwa halafu wengine ni wagonjwa wanashindwa kujihudumia ni shida sana. It really pain
 
Inauma watumishi hao walikuwa wanakatwa mishahara yao kila mwezi kuchangia akiba ya uzeeni sasa wamezeeka wamestaafu hela yao hawalipwi wanazungushwa tu mbaya zaidi sasa ni wazee hawana nguvu za kufanya kazi ujipatia fedha za kujikimu PSPF wanastahili kushitakiwa mahakamani kwa kuchukua fedha za wazee hawa ilkiwaaminisha inawawekea akiba za uzeeni
 
Hela hawana kwa sasa serikali imewakopa sana.Subiri tu mpaka wapate hela.Au kama una ndugu yako wa karibu PSPF mtumie.
Jamani naulizia PSPF kunani?mbona hawalipi mafao, ndugu yangu amestaf since October, 2015 lakini hajalipwa mpaka Leo, msaada nifanyeje?
 
Jamani yaani inasikitisha sana kuna walimu wamestaafu toka mwaka jana mwezi wa 8 yaani wanavyozungushwa halafu wengine ni wagonjwa wanashindwa kujihudumia ni shida sana. It really pain
Na kasi yote hiyo ya Magu bado haijasaidia kitu?
 
Katika baadhi ya vitu nilivyovishusha thamani ni pamoja na pspf
PSPF ni mfuko wa hifadhi ya jamii ulio Mchanga sana karibuni kuliko yote! Lakini kwa kuwa kuna vigogo walikuwa wanachangia huko walipokaribia kustaafu wakafanya lobbying na kufanikiwa kuufanya mfuko huo Mchanga uwe unalipa mafao makubwa sana kuliko mifuko yote!
Ikumbukwe kuwa mfuko huu ulipoanzishwa mafisadi wakaiingiza serikali kwenye deni, yaani ilipie michango yote ya wafanyakazi wake toka walipoajiriwa japo walikuwq hawachangii! Hilo ndilo chimbuko la deni la serikali kwa pspf, mbali na mikopo mingine ya kuhudumia miradi ya maendeleo!
Suluhisho ni kuanza kulipa mafao kulingana na mwanachama alivyochangia binafsi, na kuachana na michango ambayo angechangiwa na serikali bila yeye kuchangia na serikali imeshindwa kutekeleza.
Wote waliofanya maamuzi ya kuibebesha serikali deni watumbuliwe popote walipo hata kama ni kaburini!
Mfuko tajiri kuliko yote ni NSSF lakini ndio umekuwa ukinyonya wafanyakazi kwa mafao hafifu sana, wakati ndio uliokuwa unastahili kutoa mafao bora kuliko mifuko yote! Dau ni wa kutumbuliwa!
 
Back
Top Bottom