pspf wameita watu

pspf wameita watu

jack c

Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
18
Reaction score
1
jaman wapendwa nauliza eti pspf walishaita wa2 kuwenye usail! tangazo la mwez wa pili fani ya telephone operator/receptionist cku njema
 
unauliza kama unatoa taarifa. Ukija kwangu kama ndo muajiri na mwandiko huo jua kazi huna
 
jitahidi kutofautisha swali na taarifa. Isije kuwa hata katika application zako pia unaharibu hivi hivi. Bado hawajaita.
 
ila kasema 'nauliza'...labda kichwa cha habari ndo kakosea...
 
Back
Top Bottom