pspf, nafac za operation officer wameshaita watu?

senator diko

New Member
Aug 8, 2011
3
0
wadau pspf walitoa nafac za operation officers muda mrefu umepita vp wameshaita wa2 kwenye interview mwenye taarifa anijulishe
 
Muwe na uvumilivu kidogo kwani maombi yalikuwa mengi sana,hivyo inahitajika muda wa kutosha ili kupekua wote wenye sifa na kuwatoa hadharani kwa ajili ya usaili.Tunahitaji walau kupunguza idadi ya waombaji ifikie 100 kwa nafasi 8 zilizotolewa.
 
wacha kuwa mbabaishaji kwani kuchuja watu kuna kazi gani au wewe na jamii mnayokaa vichwa vyenu ni maji
 
Kwa ubabaishaji wa hizi taasisi za serikali, usishangae hata ikichukua miezi mitatu kufanya screening tu.
 
MI naona wameshawapata watu wao wanao wahitaji.
tangu umeanza kuapply umeshaona tangazo la nafasi za kazi la NSSF , PPF.
Tisiwaonee PSPF ni kawaida ya hii mifuko kuajili watuwao.
SO ITS BETTER TO LOOK FOR ANOTHER PLECE TO APPLY
HENCE DONT WASTE YOUR TIME TOWAIT FOR IT
 
Yes another PLECE ndo wanapenda watu wa aina yako!!!!!
 
wacha kuwa mbabaishaji kwani kuchuja watu kuna kazi gani au wewe na jamii mnayokaa vichwa vyenu ni maji
Sikushangai mtu kama wewe kwani uwezo wa kutambua mambo ni mfinyu sana.Huwezi kujua jambo ambalo hujawahi kulifanya.Hoja huna na wanaokuunga mkono.Suala kama hili bajeti yake ilikuwa makadirio ya maombi 50 ya wanaokidhi vigezo.Hivyo kuongezeka kwa idadi kunaongeza pia idadi ya wasimamizi,venue ya kufanyia usaili na mengineyo.
 
nadhani wewe ni mtu wa ajabu sana wa kusema unashindwa kufanya shortlist ya watu 3700 kwa siku zote hizo tambua sisi tukiwa NSSF mwaka jana tuliweza kufanya kuchagua watu walioombo toka kwenye idadi ya 15000 na tukachukua watu 150 kwa siku chache tu na tukayawasilisha kwenye bodi. tatizo najua pspf mlikuwa mnaitana ndani kwa ndani na sasa mmelazimishwa kutangaza ndio maana. tunalitambua sana hilo na nasikia nafasi ya mwanza mnataka kuitoa kwa mtoto wa waziri sasa fanyeni muone kama wote mjapoteza kazi
 
Back
Top Bottom