Hakuna malipo ndugu wala hata usiwe na matumain.Kwa mujibu wa sheria mpya mafao yatatolewa kwa mwanachama kuanzia miaka 15 ya utumishi chin ya hapo hupewi ni sheria ya kihuni kweli.
Msaada jamani mimi nilikuwa mwalimu selikarini sasa nimefukuzwa kazi nilikuwa mwanachama wa pspf nimechangia kwa miezi arobaini nilikuwa nauliza je nienda kudai malipo yangu ntalipwa pia nilikuwa nataka kujua calculation inakuaje ya malipo hayo
Jibu kwa reference na sio hoja zako za kiharakati.Acha ubishi wa kiprimary!!Acha uongo anapewa mafao yake yote aende makao makuu watamweleza cha kufanya. Ila atapewa michango yake pekee na ya serikali. Hatofanyiwa calculations.
Mkuu wewe una hela ndefu licha ya pspf nenda mahakamani utapata kiinua mgongo yani nusu mshahara wa mshahara wako wa mwisho mara miezi 40.
unapata withdraw benefits yako..
michango yako tu uliyochangia.. haraka haraka una kama milion 7 to m 10 hivi
Google pspf utapata maelezo kwenye website yaoMsaada jamani mimi nilikuwa mwalimu selikarini sasa nimefukuzwa kazi nilikuwa mwanachama wa pspf nimechangia kwa miezi arobaini nilikuwa nauliza je nienda kudai malipo yangu ntalipwa pia nilikuwa nataka kujua calculation inakuaje ya malipo hayo
mkuu fafanua vizuri sijakuelewa hapa andiko lako
Jibu kwa reference na sio hoja zako za kiharakati.Acha ubishi wa kiprimary!!
Am assuring you explicitly,hakuna mafao wala usitegemee utapata presha bure alt its really difficult to swallow the truth.
Hakuna malipo ndugu wala hata usiwe na matumain.Kwa mujibu wa sheria mpya mafao yatatolewa kwa mwanachama kuanzia miaka 15 ya utumishi chin ya hapo hupewi ni sheria ya kihuni kweli.
mkuu mahakamani nafungua kesi gani ndugu
Kama kitu hujui usikurupuke ukamkatisha mwenzio tamaa akakosa stahiki zake.Am assuring you explicitly,hakuna mafao wala usitegemee utapata presha bure alt its really difficult to swallow the truth.