Kwa hiyo kwa pspa ajira nI ngumu sana au!halafu kwa pspa we umedeal na nn hasaNadhan usome Law inachance kubwa ya kujiajiri hlf unaweza kufanya kaz za HR pia so n best option.
Mwenyew nimesoma PSPA ila ningerud first year now ningesoma Law
Kwani hiyo na ile ya ArdI urban or regional planning zinatofautiana!My friend kama upo vizur
Soma Barchelor of Science Economics in project planning and management at Mzumbe.
Ajira za Planning nyingi sana zinatangazwa unaweza ukapata.
By the way project managers frim N.G.Os wanalipwa ela ndefu kinyama
Sy ngumu after ajira lazima utawaza kujiajiriKwa hiyo kwa pspa ajira nI ngumu sana au!halafu kwa pspa we umedeal na nn hasa
Mmhhhh kwa miaka 4 iliyopta walichukua had two inategemea na pointsOkay.But nimesikia wanataka division 1 pekee
Kumbe Kuna unachokipenda, mie ningekushauri usome ppm&cd Udom au mipangoMe napenda sana PsPa mkuu..yani toka kitambo nina ndoto za kusoma hiyo
Ndio dada angu hata mimi nategemea division 1..ila hizo coz ndio kipaumbele changuMmhhhh kwa miaka 4 iliyopta walichukua had two inategemea na points
Ila naamini utapata division one mdogo angu.
Pia zingatia Ushauri WA wadau Hapo juu
Soma kitu kwa kuangalia soko LA ajira
Kila LA kher
Wakuu naombeni msaada ni kozi gani itanifaa kusoma chuo nimemaliza form 6 HGL kati ya
POLITICAL SCIENCE AND PUBLIC ADMINISTRATION UDSM, LAW UDSM , HUMAN RESOURCES MANAGEMENT TIA, AU REGIONAL OR URBAN PLANNING ARDHI, Naombeni msaada wenu wakuu
Wewe ndio mbovu uliye na akili mgando unayetegemea kuajiriwa ilI utumbuliwe
Law haina ishu siku hizi, makanjanja wengi, si unaona Tundu Lissu anavyowatoa kamasi mawakili wa serikali tena walipitia Law school.Ila kwa upande mwingne LAW is the BEST na ni kozi ambayo ukihitimu Law School na kupata cheti cha ufaulu utakuwa ni product yenye thamani sokoni tofauti na kozi zingne ambazo unaweza toa jasho sana lakin at the end unakuwa AN ARTICLE OF NO COMMERCIAL VALUE. Law ina uwanda mkubwa sana wa soko.
Nimemaliza mwaka huu nimepangiwa chuo kikuu cha Dar es salaam course ya PSPA..Umemaliza form 6 HGL mwaka gani...Kama mwaka huu..umepangiwa chuo gani. .Na kozi gani?
Na katika mind yako wewe unataka usome ili uwe nani na kwanini uwe hivyo? ? Tafakari.
Ukishapata majibu hayo..utaona mwanga wa kwenda mkuu.
Basi umeula mkuu,,,masomo memaNimemaliza mwaka huu nimepangiwa chuo kikuu cha Dar es salaam course ya PSPA..