Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,377
wadau Nina ps3 hapa nimeboreka na CD nlizonazo natafta njia ya kuifanya ps3 yangu iweze kucheza pirated games iwe kwa disc za kuburn au hata USB, nawasilidha hoja ...... .
Una ps3 ya aina gani zile kubwa za mwanzoni zile slim au supper slim?