Ps3 Needed Budget 500,000Tsh Cash

Ps3 Needed Budget 500,000Tsh Cash

NickFatz

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
224
Reaction score
8
Ps3 Inahitajika...New Au Used...
At least 2 Pads.

+255 756 412 337
 
Mkuu weka maelezo ya kujitoshereza!maana Ps3 nirahisi kwa wanaoijua je kama mimi ninayo lakini siijui labda kati ya wanafamilia hayupo nakatuachia mali twambie nini yawezekana tunayo tunasugulia miguu!!lol!:help::mod::gossip:
 
Ina maana kaka haujui ps3 ni nini??....Aiseee hiyo noma.
 
Sasa unachoshangaa nini kwani ajabu??au mimi mbulula kwakuwa sijui Ps3??Mimi nimekulia kijijini na nikasomea kijijini ndomaana nauliza wewe kama umekulia mafletini kombolela umechezea nyuma ya mafriji mimi ilikuwa vichakani!
 
Me staki ugonmvi kaka...kama hauna Ps3 nakuomba upotee...Naona umeboreka home..kazi kuzinguana tuu.
Mimi sipotei ila wewe kama utaki kuelimisha umma mimi nitasimama juu yao eleza hiyo Ps3 nini kama nikibao cha kupigia plasta au cheeping tujue nakama kuna Ps1,ps2 nayenyewe tujue tunajua wewe unajua zaidi yetu lakini nasisi tunataka kujua kupitia kwako!mkuu!
 
itakuwa Play station ni video games. Mkuu,
 
Sasa unaona wala ujatumia gharama kutujuza sasa nimejua ila huyu NickFatz siyo muungwana kabisa!kumbe!!
Poa ndugu hamna tabu, ila tambua huku kwenye hizi social network watu tupo wa kila aina cha msingi na sekondari ni kuvumiliana na kusameheana, wengi huku hatufahamiani sana. inabidi saa nyingine kupotezeana.
Kwa upande wangu mimi sio mchoyo kwa knowledge ambayo ninayo
 
yani hatu kwenda ku search google kuhusu ps3 ni tabu kwako ..KakaKiiza..yani sita shangaa mwisho wa siku swali lingine lako ni "google ndo nini".....Ahsante wakuu nimeshapata P.S 🙂.
 
Poa ndugu hamna tabu, ila tambua huku kwenye hizi social network watu tupo wa kila aina cha msingi na sekondari ni kuvumiliana na kusameheana, wengi huku hatufahamiani sana. inabidi saa nyingine kupotezeana.
Kwa upande wangu mimi sio mchoyo kwa knowledge ambayo ninayo
Nilitaka aueleweshe umma watu wajue!
 
Back
Top Bottom