Ps 3 inauzwa

Ps 3 inauzwa

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,319
Reaction score
3,435
Habari wanajamvi nina ps 3 ina matatizo ya kuzimika kila baada ya dk 10-20 sometimes inafika mpk 30 kwa hiyo nauza kama scraper,vitu ambavyo mtu anaweza akafaidika navyo ni waya wa umeme(adapter),padi mbili(orignal) mlango wa dvd,hard disc gb 80 na other internal parts za game ndani kuna magame matatu ambayo yapo installed tayari fifa 14,gta 5 na kacta,
bei yake ni sawa na bure nauza kwa tsh 90,000tu maelewano yapo kwa vyote/game nzima, mwenye kuhitaji au kwa mawasiliano zaidi anicheki kwa na. 0717935054

Ps 3.jpg
 
Back
Top Bottom