ps 3 games msaada

ps 3 games msaada

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,326
Reaction score
3,446
atakaeweza kujailbreak ps 3 yangu,kunielekeza jinsi gani ya kucheza downloaded games step by step au wapi naweza kupata cd za bei rahisi a.k.a za kuchakachua tafadhali naomba anisaidie niko tayari kulipia huduma,ps 3 yangu ni 3.7 cfw fat(not slim),naomba kuwasilisha
 
jaribu kuwasiliana na leh pengine anaweza kukusaidia.
 
Last edited by a moderator:
Nilijaribu bila mafanikio.. ya kwangu
 
Nilijaribu bila mafanikio.. ya kwangu
na mimi naonekana nafuata njia zako ila sitakubali nitakomaa mpk niweze siwezi kukubali kununua cd 1 la game eti 120.000 wakati magame ya kudownload yapo kibao torrent though inahitaji sana kuumiza kichwa na kutake risky coz ukibugi kidogo tu unaweza ukaharibu ka ps 3 kenyewe
 
Ps3 ikiwa below 3.55 version inachakachulika kiu urahis hata mimi yangu nimeichakachua, sema kuanzia 3.56 na kuendelea hapo ndio ngumu maana Sony kuna mautundu waliongezea..
 
Back
Top Bottom