PS-2 tupu mbili zinahitajika

PS-2 tupu mbili zinahitajika

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
ziwe nzima bila tatizo lolote,zicheze flash,nahitaji mashine peke yake.no 0658327429 nipo dsm.
 
mi nahitaji pia.. chipped one..yenye accessories
 
Nipigie tufanye biahara. Ninazo tatu naziuza
 
Ungetaja bei elekezi watu tukajipima ubavu kabisa ili tukupigie.. ankol
 
Last edited by a moderator:
Zipo mbili moja kubwa moja ndogo njoo watsapp kama wazitaka 0655 44 44 40
 
Kwani kutaja bei kabisa ni tatizo wakuu!!!?. Atleast kabla ya kutafutana mtu unajua wapi umaanzia
 
Back
Top Bottom