Proxy servers | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Proxy servers

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Freelancer, Jul 1, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Mfano ninatumia ttcl broadband kwenye internet cafe ambayo cku hizi kuna ile quota ya gb 20 ambayo ni lakinne. Nataka kuweka privoxy proxy server nimeona ipo poa. sasa nataka kujua kama ipo stable kwa mazingira ya cafe lets say ten computers. pia nataka list ya file xtension za kublock na pia site ambazo zinakula sana bandwidth. nimwagieni data wakubwa.
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Is this even legal?
   
 3. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2009
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kaomba msaada wa kitaalamu.....kuna tekelinalokujia gani hapo katika swali lake ni iligo??
   
 4. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ana offer public service, halafu anai limit kiajabu ajabu.

  Kwanza kabla hatujamshauri kitu ambacho kinaweza kuleta biashara ya hadaa (mtu anakwenda kwenye cafe akijua atapata mafaili yake, kuja kugundua kuna mi filter) tunataka tujue anafuata sheria kwa kuweka filter zitakazoziba mafaili? Ataweka notisi kubwa itakavyoyataja mafaili hayo kwenye mlango wa cafe yake ili kila aingiaye ajue?

  Si tunampa ushauir kumbe tunachangia katika ugomvi utakaotokea hapo baadaye.

  Ndiyo maana swali la kwanza likawa, is this even legal, sehemu nyingine hizi huduma ziko standard na ukileta uchujaji wako kama serikali ya China unaweza kuwa unakiuka anti-Orwellian laws.

  But who am I kidding asking about the legality of this in the Wild West like cloud of Tanzanian cyberspace.

  I guess anything goes, but for real, if the concern is cost, why not come up with a business plan that will address that?

  You want to download large files, fine with me, here are my hourly rates and if you go over this much in downloads you will pay this much.

  Of course for security reasons you can block .exe and .bat etc (Google is your friend, even the techies don't know all of these files and must resort to googling, or more precisely, searching)

  So if you are looking for a security related strategy, search.After all new files are being flagged eevryday and the most accurate authority is not going to be some user, but a community of users dedicated to security.

  If you are looking at a way to combat traffic, look at that as a business opportunity, not as a problem.
   
 5. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  If you are not willing to help just shut up dont bring politics. Nadhani unajua high costs za bandwidth nchini mwetu. hii imefanya cafe nyingi zinshindwe biashara. Now i have a client ambaye namhudumia kama consultant kumpa ushauri afanye nini ili aweze ku survive.Iam looking this at business point of view. Unarestrict baadhi ya computer ambazo zinakuwa for simple surfing ambayo bei yake inakuwa rahisi. ila pc ambayo itruhusiwa kudownload bei ni tofauti. Hii ni free market kusema kwamba ni illegal nakuwa sikuelewi. kama ukiona mimi nafanya restriction ya files nenda kwa mtu mwingine ndo utandawazi. Mi nakuwa charrged per mb sasa wewe nakutoza per hout tsh 1000. halafu unaenda kudonwload mafile makubwa. pia kuna ishu ya traffic utafanya service quality iwe poor.
   
 6. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Freelancer,
  Kuna post niliweka hapa. .
   
  Last edited: Jul 2, 2009
 7. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  You are in no position to shut up anybody in here, least of all the punditry of the Bluray

  You wouldn't know politics if it stared you in the face. there oughta be laws against you doing business.

  Pale mediocres wanapoona tatizo, the bold see an opportunity

  Kwa sababu wabongo tumezoea biashara za kuigana, mmoja akiwa na bar wote wanafungua bar, mwingine akifungua cafe, wote wanafungua cafe, hamna inventiveness, hamna innovation, hamna tofauti katika business plan.

  Hapa unapoona tatizo la high cost of bandwidth mwingine ataona opportunity ya a niche of internet users, au atafanya lobbying na cafes nyingine kupata a special plan from ISPs, badala ya kuliconfront tatizo au kuona kama challenge ya kibiashara, unataka kufunga mlango.

  Consultant ambaye hajui ku google?

  unampa ushauri wakati wewe mwenyewe unahitaji ushauri?

  "Looking this at business point of view" for real Mr. Consultant?

  hata kujieleza shida

  Unaijua free market wewe? Freemarket haina restrictions kama hizo unazotaka kuweka wewe, hela yako tu.

  Free market is a two edged sword, ina uphold mteja ni mfalme, wewe unataka kumnyanyasa mteja na kumwambia "kama hutaki substandard service yangu nenda kwingine". Watu kama nyie ndio mnaosema "dala dala si ndoo ya maji, haiwezi kujaa, kama unaona unabanwa nenda kapande teksi".Ukiamua kuingia katika biashara unatoa service fair,

  Apparently wewe hujaona somo zima la biashara nililokupa hapo juu, basically unailaani neema.Ni kama yule mtu aliyefungua biashara yenye capacity ya watu 100 analalamika kwa sababu wanakuja watu 1000.Hizi ni challenges za biashara, inabidi watu wajifunze kuwa inventive, unaweza ku charge per MB, ku lobby ISPs wakupe special plan, au hata kufanya hili swala liwe la advocacy.

  Biashara zina wenyewe, na wengine kama nature yetu ni kupokea mshahara si lazima kila mtu awe mfanyabiashara.
   
 8. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  Any body who has the list? so far kwenye movies nimeona files extension kama za avi,mpeg. pia kuna mp4. kwenye program files kuna exe. pia kuna rar, zip,. sites kuna youtube. zingine naomba mnishushie
   
  Last edited: Jul 3, 2009
 9. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2009
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  I don't know whether it is legal or not.

  I know one ISP who is blocking video and audio streaming, mp3 downloads pamoja na P2P applications.
  Baadhi ya shule na maofisi (naamini hata USA and Europe) wana block facebook, youtube, pr0n sites, etc.
   
 10. Mau

  Mau Senior Member

  #10
  Jul 3, 2009
  Joined: Apr 8, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nini hasa unachoomba hapa, kwanza umebadilika ghafla kutoka kwenye mada kuu ukahamia kwenye files extension, hata kama unazihitaji bado hujasema una shida gani tukusaidie
   
 11. Freelancer

  Freelancer JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 2,650
  Likes Received: 1,168
  Trophy Points: 280
  soma post yangu ya kwanza vizuri. nilitaka watu wanipe tu mapendekezo kutokana na uzoefu wao vitu gani vya kublock kwa kutumia proxy server. Nimepata client swengi wanatumia broadband kwa cafe. TTCL wamewapa advice walimit downloads na upload ya files kubwa. Napost yangu ya mwisho nikatoa mfano wa wa file extension chache ambazo naweza kublock lakini sizijui zote. Mfano wenye proxy server unaweza block mtu asidownload executable files. Executable file mara nyingi huwa zinakuwa mafaili makubwa. Pia media files huwa zinakuwa kubwa. Sijaenda off topic. I thought kwamba lengo la hapa ni kudiscuss science na technology mbali mbali ambazo zipo. Ndo maana nikaleta hii thread niweze kubadilishana mawazo na wenzangu kuhusu practical experience yao ya hiki kitu. Badala yake naona instead ya ku discuss ideas imekuwa ni personal attacks mfano eti naambiwa mi nitamshaurije mtu wakati na mimi sijui kitu. Hatujuani kwa hiyo dharau so kitu chema.

  Naomba kufunga hii thread msaada siwezi kupata hapa i will try to look somewhere else.
   
  Last edited: Jul 3, 2009
 12. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole sana ndugu kwa kukosa msaada unaoutaka.Tatizo lako una kuwa mkali sana,pia unashindwa kuelezea tatizo lako vizuri,hakuna mtu ambae anaweza kukusaidia wakati wewe mwenyewe ujui una shida gani.Mods sikieni kilio cha Freelancer,ameomba hii thread ifungwe.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...