Mkuu kidogo nataka kukuelewa naomba ufafanue zinsi gani naweza kuitumia kwenye simu yanguProximity sensor ni sensor inayopima umbali(proximity) wa kitu na kizingiti(object) chochote. Inatumika kwenye vifaa vingi ukiacha simu. Lakini kwenye simu.
Proximity sensor hutumika kudetect pale mtu anapoweka simu skioni au anapofunika simu na kizingiti kingine chochote. Hata pia kuweka simu kioo kikiangalia chini uwa ni proximity sensor inayogundua(detect)
We ndo uko sawaKwenye smartphone.. Ukipigiwa simu ukaiweka simu skioni.. Kuna kitu kinafanya screen izimike..
hahahahahaaaWe ndo uko sawa
Ila simu za tecno ukiweka sikioni inazima screen
Ukitoa badala iwake tena, inakua imezima jumla mpaka uwashe kwa button
Sim za kiboya kweli
Kila ukiweka simu yako kwenye kizingiti (obstacle) chochote screen yake inazima, na hapo unakuwa umeshaitumia. Hii ni kwa ajili ya kuzuia simu kujibonyeza yenyewe wakati simu iko sikioni unaongea.Mkuu kidogo nataka kukuelewa naomba ufafanue zinsi gani naweza kuitumia kwenye simu yangu
Wamezingatia zaidi kwenye matumizi ambayo hayahitaji screen ya simu, sana sana kwenye calls.Kila ukiweka simu yako kwenye kizingiti chochote screen yake inazima, na hapo unakuwa umeshaitumia. hii ni kwajili ya kuzuia simu kujibonyeza yenyewe wakati simu iko sikioni unaongea.
Ni kweli ndiyo maana nilielezea kwanza hiyo proximity sensor (inductive sensor) ni nini kiujumla, halafu nikaelezea matumizi yake hasa kwenye simu kuwa ni wakati wa kuongea ili kuzuia accidental dialing hata hivyo saving power pia ni muhimu.Wamezingatia zaidi kwenye matumizi ambayo hayahitaji screen ya simu, sana sana kwenye calls.
HahahahahaWe ndo uko sawa
Ila simu za tecno ukiweka sikioni inazima screen
Ukitoa badala iwake tena, inakua imezima jumla mpaka uwashe kwa button
Sim za kiboya kweli
HahahahahahahahaWe ndo uko sawa
Ila simu za tecno ukiweka sikioni inazima screen
Ukitoa badala iwake tena, inakua imezima jumla mpaka uwashe kwa button
Sim za kiboya kweli
hahhaaWe ndo uko sawa
Ila simu za tecno ukiweka sikioni inazima screen
Ukitoa badala iwake tena, inakua imezima jumla mpaka uwashe kwa button
Sim za kiboya kweli
[emoji15] [emoji15] [emoji15]We ndo uko sawa
Ila simu za tecno ukiweka sikioni inazima screen
Ukitoa badala iwake tena, inakua imezima jumla mpaka uwashe kwa button
Sim za kiboya kweli
AiseeWe ndo uko sawa
Ila simu za tecno ukiweka sikioni inazima screen
Ukitoa badala iwake tena, inakua imezima jumla mpaka uwashe kwa button
Sim za kiboya kweli