Proved: TBC1 haitarusha bunge live

Bora waache bunge 'live' vinginevyo kutakua na 'tv mbao live'

kweli!? Kutokuonesha bunge haisaidii kitu,ila watafute sababu ya ukaili wa wabunge. Taarifa si za bunge tu kwan za field ndiyo nzuri zaidi
 
hayana maslahi kwa wamiliki
 
me nahis ulimi uliteleza maana pembe halikatwi,hung'olewa sasa huenda alimaanisha kuwang'oa KUCHA
 
Ngoja hiyo kesho ifike halafu nishindwe kuona kauli rasmi ya serikali. Kuna baadhi ya habari hata hazifiki karibu na sikio, achilia mbali kuzitafakari.
 
Flow of information TV is just one of the channels jamani na kwa taarifa yenu wanaomiliki TV hawazidi 30%
Mnavozidi changanyikiwa naona mtafunga mpaka internet,sms via mobile phones,blogs etc
Mjifunze toka Egypt huwezi zuia kuloa na mvua kwa kujikinga na gazeti!
 
...ngoja wampate mchawi kwanza ndo watarusha tena...
 
Rais hakusema hivyo ninyi ndio wachochezi nilichosikia mimi alisema waliosababisha vurugu watasakwa hadi wapatikane iwe ndani iwe nje. Sasa hayo mapembe alikwambia wewe kwani wewe una mapembe mbona siye binadamu tuna masikio. Acheni kuzusha maneno ya uchochezi kutaka misifa isiyo tija.
 
Ndio ukweli wenyewe toka ndani ya TBC kuwa simu imetoka magogoni na mjengozi

Kwanza kupunguza freequence za wenyemadishi kupata chanell

Pili kutorusha vipindi vya bunge hasa swala na gesi mpaka further notice
ili wafiche ukweli wa mambo.. yaani serikali hii imelaaniwa..
 
Wa Kibanda na Ulimboka wao si muhimu kupatikana, muhimu zaidi ni walioleta vurugu Mtwara!
 
Ndio ukweli wenyewe toka ndani ya TBC kuwa simu imetoka magogoni na mjengozi

Kwanza kupunguza freequence za wenyemadishi kupata chanell

Pili kutorusha vipindi vya bunge hasa swala na gesi mpaka further notice

TANZANIA kwa hapa ilipo ipo katika hatua za enzi ya mwisho ya utawala wa Moi wa Kenya
 
Jamiiforums inatosha, sina haja ya TBCCM kwa kuwa inatupa taarifa kidogo ukilinganisha jamvi hili,waache tu...
 
Hata Tunisia na Egypt walikata mawasiliano ya simu vilevile lakini hawakuweza!!!!
 
wameshachanganyikiwa kwaiyo hawajui wanachokifanya
 
Hata Tunisia na Egypt walikata mawasiliano ya simu vilevile lakini hawakuweza!!!!
hawakuweza ndio lakini hao wamisri na tunisia walichokitaka maeshakipata? mbona kama wale waliowaamini kuwa ndio watawabadilishia halii ya maisha yao ndio wanawageuka tena?
 
Tanzania eeh nchi yangu eeh nakupenda oooh ntang'olewa kucha eeeh,taarifa zetu tutazipata toka kwa wageni,wasirushe poa tu
 
Bora wasionyeshe maana watu wanaserukamba sana

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wanauzunguka mmbuyu hii ndo Tadanganyika ya leo na ijayo wanawani
:
 
Yasadikika kuwa masikio yako yanachagua vya kusikia! kama hukuchelewa kuangalia habari hiyo. Hayo yalitamkwa na Rais mwenyewe, kisha Nchimbi akaendeleza kukazia! Duh! UNAZI NOMA jamani! unakataa live! Mtanzania kweli wewe?
 
Leo nimechoka kubishana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…