Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,684
- 91,592
Kuna watu sasa hivi wanajadili kama Polepole kutuma barua ya kujiuzulu mtandaoni amefuata protokali! Yani karne hata barua ya kujiuzulu yenye maudhui na sababu kama hii ya Polepole iwe siri ya serikali ?! Siasa za ujaama uchawara zimedumaza sana akili za Watanzania wengi.
Huwa nashangaa sana hata haya mambo na mijadala ya protokali kama maswali ya nani mkubwa kati IGP, CDF, DGIS au Mkurugenzi uhamiaji. Masuala ya mtu anaanza hotuba kwa kutaja msururu wa viongozi walipo kwenye mkutano. Haya yote ni ujima tu.